Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,495
- 70,621
Naunga mkono hojaNatanguliza sallaam!.
Kuna jambo nimeona ni vyema niliseme pengine linaweza kuwa msaada kwa dada zetu.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kuolewa.. Hii ni kutokana kutooa, kwa kifupi kutoona umuhimu wa kuooa.....
#1..Wanawake mmejirahisisha sana kwa Wanaume.. Unakuta mwanamke hajaolewa lkn kila weekend unaenda kwa mwanaume, unalala kwake, unafanya usafi... Kwa kifupi unatekeleza majukumu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa wakati huna ndoa........ Hapa huwezi kumshawishi mwanaume mfunge ndoa wakati kila saa upo kwake.
Nini kifanyike?
Wanawake mnapaswa kujitambua na kutambua thamani yenu.....
Hata sisi wanaume tunawashangaa sana wanawake mnavyokuwa rahisi rahisi... Kitu kizuri hakiwezi kupatikana kirahisi.
#2. Aina ya mavazi mnayovaa.... Kukaa uchi ni sababu kuu ya kupishana na ndoa...
Nani anayependa mapaja ya mkewe yawe yanaonwa na kila mtu??
Nani anayependa matiti ya mkewe yawe yanaonwa na kila mtu??
Urembo wa mwanamke haupatikani kwa kutembea uchi.... Ukitembea uchi utahamasisha kungonoka lkn si kuolewa....
Endeleeni hivyo hivyo tutaendelea kuwatumia kwa dharura na kuwazalisha tu .. Ila hatutadhubutu kuwaweka ndani mpaka pale mtakapokuwa na akili timamu..
1. Niwe tofauti na wewe kidooogo... Sababu kuu ya wanawake kufanya hivyo ni kutetea mahusiano yao... Hawafanyi hivyo kwa mapenzi yao... Ni sisi wanaume tunapenda kuwakimbiza wanawake waje kwenye nyumba zetu... Na wakija tunawatumikisha vile tutakavyo sisi.,.. Mwanamke akija kwako asipopika, kukufulia, kukufanyia usafi unamsema vibaya siyo wife material... Mara mvivu mara anakiburi... Akifanya hayo unamsema vibaya anajirahisha...
Akigoma kuja kwako unamsema vibaya atakuwa ana michepuko mingi ndiyo maana haoni umuhimu wa kuja kwako...
2. Hiyo inaukweli kwa kiasi fulani... Lakini wanawake wengine wanafanya hivyo kutafuta attention... Wakishaolewa kamwe huwezi mkuta akijiachia maungo yake nje...
Cha muhimu.. Oa yule moyo wako uliyompenda vile alivyo...