Ushauri kwa Wanawake/Mabinti

Wanaume hawaridhiki, kama alikuwa na lengo la kukuoa atakuoa tuu asipo kuoa basi hakuwa wako huyo
 
Daa! Hilo la kuishi na mwanaume ndo limenipitia kushoto kabisa... Ata kwenye kupika, mpaka ufike kwenye level fulani ya uhusiano wetu. Siwezi timiza majukumu ya mke yote wakati ata nyumbani hatambuliki!!!
 
Kama ndoa umepangiwa utaolewa tu cha muhimu ushirikiano nakuonyesha uwezi unao
Tatizo wanaume wnapenda kuwaoa wanawake ambao hawajui walivyo ili ukifika kwake tu ndo ufwate rules na taratibu zake yan utatakiwa kupanga wala kupangua fwata amri ndo maana ndoa inakua mwiba ndoa inakua mashindano .nani a nataka hayo ndoa ni maelewano/mazoea ya kila kitu ili kwenye ndoa mje muishi kama marafiki
 
Daa! Hilo la kuishi na mwanaume ndo limenipitia kushoto kabisa... Ata kwenye kupika, mpaka ufike kwenye level fulani ya uhusiano wetu. Siwezi timiza majukumu ya mke yote wakati ata nyumbani hatambuliki!!!
Kwanini usiende kumtambulisha home sasa?
 
Back
Top Bottom