Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

Puma yetu

Senior Member
Sep 23, 2016
111
125
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana. Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
 
Yaani huu ushamba na ulimbukeni tumeutoa wapi!?

Ndio haya ya kufikiri Wasomi kutoka Vyuoninndio wanafaa kuwa Wakurugenzinkwenye Idara na Taasisi za Serikali! Matokeo yake tunawaona wakipiyanga tu! Au Makada wa Chama kupeea Utumishi wa Umma!

Yaani kundi kubwa laWatumishinwa Umma akosekana mtu wa kushika nafasi hizo mpaka Hawa kutoka BBC hebu tuache ushamba ! Tulisomesha watu ilinwaongoze ..tatizo vetting ni Dhaifu sana! Kuna Watumishinwa Umma Wenye uzoefu na uwezo wa kushika nafasi hizo!
Watumishinwa Umma Serikali ya CCM ina dhatau sana!
 
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana.
Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
Ayubu ana kiburi mara3 ya Abasi binafsi naona si tu atachukiwa na jamii atapuuzwa kama mithili ya aliefanyiwa demotion jana. Hana mvuto wala anachokisema kwa niaba ya serikali haikiaminiki
 
Imekaa vizuri na Kwa taarifa yenu tuu ni kwamba kama mlijifanya kujua teuzi za Rais na kumuandalia cheo huyo Chikeke imewakata
 
Rais achague kwa kuangalia umaarufu watu au kwa kuangalia sifa napendekeza ,Samia afanye kama alivyofanya JPM kumchagua prime minister kipindi like wapo wengi wanasifa sema hawajapewa nafasi.
 
Ifikie wakati tujifunze kutofautisha ufanisi wa mtu katika tasnia fulani na kuwa bora katika tasnia nyingine.

Inawezekana Kikeke akawa mtangazaji mzuri sana lakini asiwe mkurugenzi mzuri wa shirika la habari. Rejea Ryoba huyo huyo.

Mfano mzuri sana ilikuwa ni Hayati Magufuli. Alikuwa ni mtendaji mzuri mno ila alikuwa na mapungufu mengi kama kiongozi wa kuu kabisa.
Alipokuwa waziri kulikuwa hakuna mithili yake katika utendaji na pengine angefaa sana kuwa Waziri Mkuu kuliko raisi.

Ni wakati sasa wa serikali na wananchi kuacha kuteua watu sababu ya majina yao na kuangalia uwezo halisi wa mtu kwa mifano ya aliyofanya huko nyuma na kusomea fani husika.

Haya mambo ya kwenda na majina ndio tunaishia kuwa na mawaziri wa ovyo kabisa. Unakuta mwalimu wa michezo anapewa Wizara ya Afya kuacha maprofessa na madaktari waliosomea mambo ya afya kabisa.
 
Mimi ni wasingida na puma na ikungi kote home ila ulichoandika pumba tupu huwez kutafutia wanaume wenzako posho ni bora ukaacha tu mambo yaende kama yalivyo pambana na hali yako
 
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana.
Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
Hakuna mtu mnafiki kama huyo ryoba ayubu
 
Unafki nao karama,
Ila kukusaidia tatizo sio elimu,kipaji ama exposure bali hio serikali unayoisemea ina habari gani za maana zaidi ya kukufanya kituko machoni pa watu
 
Ryoba siyo mtu smart upstairs,hata akiongea ni shudu tu,wakati kaandika muda mrefu makala gazetini na ana vyeti vikubwa
 
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana. Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
Naunga mkono hoja
P
 
Nafasi katika taasisi za umma ni sehemu ya kufubaza vipaji. Kama Kikeke amefikia mahalo anajiona mstaafu anaweza kujiunga TBC, lakini kama ni kuendelea kutenda haki kipaji chake aende Azam. Huko serekalini ataishia Kutangaza propaganda za kizamani.
 
Ayubu ana kiburi mara3 ya Abasi binafsi naona si tu atachukiwa na jamii atapuuzwa kama mithili ya aliefanyiwa demotion jana. Hana mvuto wala anachokisema kwa niaba ya serikali haikiaminiki
Demoted unamaanisha toka kuwa Msemaji wa Serikali na kuwa Katibu Mkuu?

Ni kama mtu atoke kuwa RC then awe Mkurugenzi.

Ni kweli ni demotion ila posho na marupurupu ya DED na Katibu Mkuu ni mengi kushinda RC na Msemaji wa Serikali
 
Back
Top Bottom