Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais anayekumbatia mafisadi tunaambiwa tayari ameshinda uchaguzi 2025?