Upotoshaji wa padre kuoa watolewa ufafanuzi

Kazi Ni ndogo tu mkuu.Chukua Kamusi uangalie maana ya neno Mapokeo na vile vile uangalie maana ya neno Mapokeo Katika muktadha wa Kanisa Katoliki.

QUOTE="anatory antony, post: 20896043, member: 240564"]Biblia ni mapokeo kutoka kwa nani? Kumbuka tunaposema mapokeo, tunaongelea Yale mambo yaliyoagizwa na wanadamu na siyo Mungu mwenyewe. Ndoyo maana hata Yesu aliwalaumu wayahudi kwa sababu ya kutekeleza mapokeo ya wanadamu lakini wanaiacha sheria ya Mungu iliyokuwa imeandikwa kalika torati na manabii.[/QUOTE]
 
upload_2017-4-29_9-49-57.png

Hebu oneni kwa mfano
 
Mkuu naona unakusudia kupanua mjadala Huu kikweli kweli? Una hoja za kutosha? Hivi unaposema niende Mbulu kuuliza kama Dr.Slaa alipatiwa Laicization letter unamaanisha barua kama hiyo ikitolewa Watu wa mbulu Au waumini wa Jimbo husika wanapatiwa copy ya barua husika? Unaniuliza Kwa nini Karugendo alishitakiwa Vatikani? Mimi sijui Kwa sababu barua ya mashitaka kwenda Vatikani haikupitia kwangu.Wewe unazijua sababu? Karugendo alikuambia sababu? Au ulipata nakala ya sababu hizo?

UOTE="philos, post: 20896447, member: 34338"][/QUOTE]
Ulitakiwa kuuliza kwanini Askofu Niwemugizi alimshataki pd wake Roma? Usilolijua ni kama usiku wa giza?

Dr Slaa ni Pd wa jimbo la mbulu nenda ukawaulize ni lini akipatiwa hati ya laicization. Alisema hivyo ili apate uhalali wa kisiasa na hasa kuvutia waislam.

Jiongeze ndugu. Kwa akili yako Papa anamjua Karugendo[/QUOTE]
 
Mkuu usipotoshe

Upadre una masharti yake. Ukiutaka, unalazimika uishi masharti ya upadre.

Ukiuacha Upadre unaachana na masharti yake. Hata wanaochagua kuwa Mapadre wanajua masharti na miiko ya hiyo kazi. Lakini kwa mapenzi yao wanaichagua, wanaisomea na kuifanya. Wakishindwa kuishi maisha ya Upadre Ndio hivyo tunaona wanatoka. Ndio maisha.

Simple like that.
katika biblia hakuna mahali popote alipoeleza namna ya kumuondolea mtu ukuhani. Ikumbuke ukuhani unajumuisha kupakwa mafuta(mpakwa mafuta).
Swali ni je, yale mafuta uliyopakwa yamefutwa kwa tamko au barua?
 
Mkuu naona unakusudia kupanua mjadala Huu kikweli kweli? Una hoja za kutosha? Hivi unaposema niende Mbulu kuuliza kama Dr.Slaa alipatiwa Laicization letter unamaanisha barua kama hiyo ikitolewa Watu wa mbulu Au waumini wa Jimbo husika wanapatiwa copy ya barua husika? Unaniuliza Kwa nini Karugendo alishitakiwa Vatikani? Mimi sijui Kwa sababu barua ya mashitaka kwenda Vatikani haikupitia kwangu.Wewe unazijua sababu? Karugendo alikuambia sababu? Au ulipata nakala ya sababu hizo?

UOTE="philos, post: 20896447, member: 34338"]
Ulitakiwa kuuliza kwanini Askofu Niwemugizi alimshataki pd wake Roma? Usilolijua ni kama usiku wa giza?

Dr Slaa ni Pd wa jimbo la mbulu nenda ukawaulize ni lini akipatiwa hati ya laicization. Alisema hivyo ili apate uhalali wa kisiasa na hasa kuvutia waislam.

Jiongeze ndugu. Kwa akili yako Papa anamjua Karugendo[/QUOTE][/QUOTE]
Kama hujui kaa kimya. Mbulu nimemaanisha jimboni Mbulu kuna wahusika kule.
 
Kumbuka hiyo sheria unayosema, haikuwekwa na Mungu, iliwekwa na papa kwa hiyo pia papa huyohuyo aliamua kuibadilisha. Lakini pia naomba mkumbuke kwamba kama papa ameweza kubadilisha sheria za Mungu mwenyewe, atashindwa kubadilisha hizo walizoziweka wenyewe?

Sheria iliwekwa na Yesu, kwani Yesu sio Mungu?
 
Nakubali kujiongeza.Nimejiongeza Ndio maana Nimekuuliza hayo maswali.Ni kweli Papa hamjui Karugendo Kwa sura lakini vile vile anaweza asimjue Askofu Niwemugizi Kwa sura.Lakini Papa alimufahamu Karugendo Kwa Wasifu (profile) wake wakati huo akiwa Padri na anamfahamu Askofu Niwemuguzi Kwa Wasifu(profile) na Kwa kupitia Balozi wa Papa hapa nchini.Mbona unakazania sana sababu za kufukuzwa Kwa Karugendo? Unataka kutuambia alionewa? Unafikiria Askofu akishapeleka tu mashitaka tu Vatikani Padri mutuhumiwa anakuwa hana nafasi ya kutoa utetezi? Basi tuambie hizo sababu za kuondolewa daraja la Upadre Kwa Karugendo.

QUOTE="philos, post: 20896674, member: 34338"]Ulitakiwa kuuliza kwanini Askofu Niwemugizi alimshataki pd wake Roma? Usilolijua ni kama usiku wa giza?

Dr Slaa ni Pd wa jimbo la mbulu nenda ukawaulize ni lini akipatiwa hati ya laicization. Alisema hivyo ili apate uhalali wa kisiasa na hasa kuvutia waislam.

Jiongeze ndugu. Kwa akili yako Papa anamjua Karugendo[/QUOTE][/QUOTE]
Kama hujui kaa kimya. Mbulu nimemaanisha jimboni Mbulu kuna wahusika kule.[/QUOTE]
 
katika biblia hakuna mahali popote alipoeleza namna ya kumuondolea mtu ukuhani. Ikumbuke ukuhani unajumuisha kupakwa mafuta(mpakwa mafuta).
Swali ni je, yale mafuta uliyopakwa yamefutwa kwa tamko au barua?

Unajaribu kujenga hoja gani hapa? Kwamba ukishapakwa mafuta hayawezi futika tena? Unaelewa nini Kwa kauli ile ambayo Yesu aliwahi kumwambia Petro kuwa kama hukubali kuoshwa miguu nami basi ushirika nami unaishia hapa hapa? Ingewezekanaje wakati ushirika wa Petro na Yesu ukomee pale Wakati Petro alishapakwaa (wekwa Wakfu) wa kuwa Mtumie(Padri/Askofu)? Je, Wewe Kwa kuwa umebatizwa Kwa mfano ikitokea ukaasi au ukazama dhambini totally huo ubatizo wako utaendelea kuwa na maana? Unahoji Upakwa mafuta unawezaje kuondolewa tu Kwa barua? Kwani kama hauwezi kuondolewa Kwa maneno inakuwaje huwa ukiwekwa Kwa maneno ukae au ukubalike? Kama point yako Ni mafuta anayopakwa mhusika Mbona nayo hufutika tu Mara mhusika anapojifuta Kwa kitambaa au kuoga? Mafuta Ni alama tu ya tendo linalofanyika ndani ya Nafsi ya mtu.Vinginevyo kama nguvu ya upakwa mafuta ingekuwa iko kwenye mafuta yenyewe basi Wapakwa mafuta wangekuwa wanapakwa mafuta hayo kila siku siku ili wajipatie nguvu hiyo kila siku.Au Nguvu ya kuondoa dhambi za mtu ingelikuwa iko maji basi kila mtenda dhambi angelikuwa anabatizwa upya kila inapotokea ametenda dhambi.Kumbe mambo hayako hivyo hata kidogo.Maji ya ubatizo au mafuta ya Krisma Ni alama za nje tu kuashiria kile kinachokuwa kimefanyika ndani ya mhusika baada ya kukiri na upande mwingine kuridhia tendo hilo.Nikupe mfano mwingine: hivi Yesu alipoteua Mitume ingetokea mmoja wapo akakataa kazi hiyo ina maana huyo mteuliwa angeanza au angeendelea kuhesabiwa toka muda huo kuwa Ni mtume wa Kristu hata baada ya ridhaa ya mteuliwa kukosekana?
 
katika biblia hakuna mahali popote alipoeleza namna ya kumuondolea mtu ukuhani. Ikumbuke ukuhani unajumuisha kupakwa mafuta(mpakwa mafuta).
Swali ni je, yale mafuta uliyopakwa yamefutwa kwa tamko au barua?

Kanisa ni social institution kama ilivyo crime and justice, education, etc. Ndio maana biblia ambayo ni msingi wa kanisa imeandika maagizo aliyotoa Yesu kwa Petrol kwamba: utakachofungua dunia, kitafunguliwa mbinguni; utakachofunga duniani, kitafungwa mbinguni. Maana yake, matendo ya kanisa yanaishi kwa kadri ya nyakati.

Ugumu wa kuelewa masharti ya upadri unatoka wapi?
 
Nakubali kujiongeza.Nimejiongeza Ndio maana Nimekuuliza hayo maswali.Ni kweli Papa hamjui Karugendo Kwa sura lakini vile vile anaweza asimjue Askofu Niwemugizi Kwa sura.Lakini Papa alimufahamu Karugendo Kwa Wasifu (profile) wake wakati huo akiwa Padri na anamfahamu Askofu Niwemuguzi Kwa Wasifu(profile) na Kwa kupitia Balozi wa Papa hapa nchini.Mbona unakazania sana sababu za kufukuzwa Kwa Karugendo? Unataka kutuambia alionewa? Unafikiria Askofu akishapeleka tu mashitaka tu Vatikani Padri mutuhumiwa anakuwa hana nafasi ya kutoa utetezi? Basi tuambie hizo sababu za kuondolewa daraja la Upadre Kwa Karugendo.

QUOTE="philos, post: 20896674, member: 34338"]Ulitakiwa kuuliza kwanini Askofu Niwemugizi alimshataki pd wake Roma? Usilolijua ni kama usiku wa giza?

Dr Slaa ni Pd wa jimbo la mbulu nenda ukawaulize ni lini akipatiwa hati ya laicization. Alisema hivyo ili apate uhalali wa kisiasa na hasa kuvutia waislam.

Jiongeze ndugu. Kwa akili yako Papa anamjua Karugendo
[/QUOTE]
Kama hujui kaa kimya. Mbulu nimemaanisha jimboni Mbulu kuna wahusika kule.[/QUOTE][/QUOTE]
Kwa faida yako ukitaka kujua mafundisho ya kanisa katoliki unapaswa kwa uchache kuwa na ujuzi ktk documents hizi.
1. Sacred Scriptures
2.The Catechism of the Catholic Church
3.The Didache
4.The Code of Canon Law
5.The 21 Church Councils from Nicea 325 AD to Vatican II 1962 AD
6.The Fathers of the Church

Ukifahamu hayo kwa uchache karibu kwa mjadala

Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa
 
Kwanza si kweli kwamba Pd Karugendo aliacha upadre kwa hiari yake. Pd Karugendo alishtakiwa vatikani na askofu wake askofu Niwemugizi wa jimbo la Rulenge.

Pia si kweli kwamba Dr Slaa ameshapata ruhusa hii

Kabla yake Pd Karugendo alishasimamishwa kutoa huduma za kanisa tangia 2000. Ruling ya vatikani ilitoka 2008.

Ikumbukwe muda wote huu Karugendo aliendelea kujitambulisha kuwa ni padre.

Utawala wa Kanisa Katoliki kamwe haumpi mnyonge haki. Utawala msonge.

Hapa Tanzania mapd wengi wanateswa na maaskofu wao na hawana pa kukimbilia. Hata balozi wa Baba Mt hawezi ingilia utawala wa ndani wa majimbo.

Kinadharia pd anaruhusiwa kuacha na kufunga ndoa. Kiuhalisia jambo hilo ni gumu na hatua zake ni kama haziwezekani.

Hapa Tz kwa mfano kuna mamia ya maombi lkn yanabaki ktk makabrasha. Hayo maombi yanapelekwa vatikani kupitia kwa askofu husika. Uzoefu ukiandika askofu hapeleki.

Huyu Karugendo alipokwa hadhi yake ya upd kwa hila ndio maana kwa shingo upande wametoa hiyo hati.

Process ya maombi kama hayo huchukua sio chini ya miaka 10 kwa ombi moja.

Kama Yesu alivyoonya viongozi vipofu muwapime kwa matendo yao sio wanachokisema midomoni ili wema wao huonekane kwa watu.

Fanyeni uchunguzi muone ktk majimbo ya Tanzania mapd wa aina ya karugendo wako wangapi.

Dr. Slaa alishapata ruhusa hii na alifunga ndoa na Josephine Mushumbusi tangu mwaka jana.

Cc:
mtanganyika wa kweli, modavid, Rweye, Gulwa, MTAZAMO, GM-waza
 
Kwa kuwa sheria hizi ni zile za kufikirika za kibinadamu ndo maana hii mikanganyiko hutokea. Akitokea mmoja kutaka halalisha jambo likae atakavyo yeye wala si Mungu, haya ndo hutokea.
Nilifundishwa kuwa kuna sakramenti ambazo mtu hawezi kuzipewa mara mbili au baada ya mojawapo kupokewa. Mfano:
Huwezi kupokea sakramenti ya ndoa na ya Upadre. Niliambiwa HAIWEZEKANI. Lakini leo haya ni kawaida kabisa.
Nikaambiwa. Huwezi kubatizwa mara ya pili. Ndo maana akija Mlutheri kajiunga Katoliki, habatizwi tena kwani bado tunaamini kuwa Luther aliipokea sakrament ya milele hivyo alio wabatiza (Walibatizika) kweli.
Huwezi kuoa/kuolewa tena mwenzi wako akiwa bado hai. Lakini leo, ati Papa anakufungua uoe/uolewe tena harusi ya kukata na shoka kanisani mbele ya altare ya Bwana. Huu ni upotoshaji wa imani yetu.
Lakini, kwa vile Kristu wa wakatoliki anaenda na wakati. Sasa haya yanakubalika. Soon, tutaoa masista na vlemba vyao. Naingoja hiyo siku kwani kuna ka sista nakamezea mate. Dominos vobis cum
Et cum spirit tuom: Et intera pax .....
 
Kwahiyo anavuna kwenye 'upadre' then akishatosheka, anaomba 'kufunguliwa' ili akale alichovuna toka kwa waumini si ndio?
 
Back
Top Bottom