Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,079
- 13,921
Hiyo TAWA kirefu chake ni Tanzania Wanyoka-nyoka au?TAWA wako wapi wakamtoe mnyama wao hapo?
msiogope
hatari yake ni nini kiongozi?Nyoka hatari kabisa kwenye maeneo ya Wanafunzi, atafutwe haraka na wahusika apelekwe hifadhinie.
chama cha majoka? TAWA?TAWA wako wapi wakamtoe mnyama wao hapo?
Chatu siyo hatari. Labda kama siyo chatu. BTW kuna nyoka amekuwa akionekana sana maeneo ya Dar huku Basihaya na ni siku nyingi. Hasa kipindi cha mvua. Ni mkubwa sana.Nyoka hatari kabisa kwenye maeneo ya Wanafunzi, atafutwe haraka na wahusika apelekwe hifadhinie.
Chatu hawindi binadamu hasa watu wazima. Ni watu wachache sana wameshamezwa na chatu duniani hasa kwa miaka ya karibuni. Labda watoto wadogo inaweza kuwa hatari.Na ubaya w huyu Nyoka uwindaji wake ni wakuvizia akishajua mahala Kuna windo lake anaweza kaa kwa utulivu bila wewe kujua hata kwa Siku kadhaa ukijashituka umemezwa tayari
Alafu kule si ndio alionekana Chui miaka ya nyuma kidogo
TAWA wako wapi wakamtoe mnyama wao hapo?
KIFO NI KIFO TUWao wenyewe wanaogopa kifo, japo kifo ni kifo tu ila kwa chatu hell no!
Hapo UDSM atakuwa ametoka pori gani??Hawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!