Chatu wapi huko?Ukute ni chatu wa mzabzab mzabzab DIVISHENI FOO
Chatu wapi huko?Ukute ni chatu wa mzabzab mzabzab DIVISHENI FOO
Chatu hawindi binadamu hasa watu wazima. Ni watu wachache sana wameshamezwa na chatu duniani hasa kwa miaka ya karibuni. Labda watoto wadogo inaweza kuwa hatari.
UDSM mapori madogo madogo yapo yapo.Hapo UDSM atakuwa ametoka pori gani??
Hivi chuo kikuu cha UDSM mnaendesha mambo kwa nadharia? Ushahidi hamna zaidi ya kuwajazia hofu jumuia ya chuo! Mnashindwaje kutumia technologia ya kisasa kumsaka huyo chatu?
Chatu hummeza mtu akianzia kichwani baada ya kumvunja mabega.msiogope
chatu hana sumu na hana tabia ya kula binadamu kwa sababu ya mabega.
Kwa uelewa wangu TAWA ndio wanahusika na hili maana ndio wanaosimamia maeneo ya wanyama pori yaliyo nje ya hifadhi za taifa. TAWIRI ni watafiti wa wanyama poriUnashangaa TAWA? Shangaa tena kuna TAWIRI
nyara hiyo, oohNyama yake ni asusa nzuri sana hasa ukiichoma, nanjilinji anaijua hiyo