Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
4,079
13,920
WhatsApp Image 2024-12-08 at 09.29.31_d51b38c4.jpg
 
Hawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!
 
Na ubaya w huyu Nyoka uwindaji wake ni wakuvizia akishajua mahala Kuna windo lake anaweza kaa kwa utulivu bila wewe kujua hata kwa Siku kadhaa ukijashituka umemezwa tayari

Alafu kule si ndio alionekana Chui miaka ya nyuma kidogo
Chatu hawindi binadamu hasa watu wazima. Ni watu wachache sana wameshamezwa na chatu duniani hasa kwa miaka ya karibuni. Labda watoto wadogo inaweza kuwa hatari.
 
Hawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!
Hapo UDSM atakuwa ametoka pori gani??
 
Back
Top Bottom