University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.

saiv nahangaika na familia tu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
karibu tunywe kahawa
 
Kuna kozi kama ZL121 na ZL122(mzungu yule anazingua kinomaaa Prof. Howell)
Hizo kozi zinapoteza walimu sana aisee walimu wengi wanao disco kutoka CoNAS basi ZL zimechangia

Nothing is easier than blaming others for your own problems
ZL watata hasa mwaka wa kwanza Mzungu Na Notochord Nyundo Na Tests Tofauti Tofauti mwaka wapili CH utaona bora urudi kijijini tu.... CoNAS wanakula vichwa sana walimu

KIMEO CHANGU
 
Mimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.

saiv nahangaika na familia tu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Kumbe Mdoe mkongwe!?? Aliondoka kwenda wizarani Akiwa Prof... Physical chemistry Organic Dr Mgina organic2 Dr Mdachi

KIMEO CHANGU
 
Back
Top Bottom