University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Ngoja nivamie uzi na mimi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kozi kama ZL121 na ZL122(mzungu yule anazingua kinomaaa Prof. Howell)
Hizo kozi zinapoteza walimu sana aisee walimu wengi wanao disco kutoka CoNAS basi ZL zimechangia

Nothing is easier than blaming others for your own problems
wewr unasoma education eti?

ulisoma au umesoma zl 210 na 220?
 
wewr unasoma education eti?

ulisoma au umesoma zl 210 na 220?
Mimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.

saiv nahangaika na familia tu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Mimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu saiv nahangaika na familia tu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Sasa kwa wale wenzangu ambao tulikuwa tunaendelea na muendelezo wake 2010 na 220 palikuwa panachimbika kishenzi!
kuna mtu mmoja anaitwa dr Pratap siji msahau
 
Mimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.

saiv nahangaika na familia tu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
imebidi nicheke tu! Hizi id fake unaweza kuta unabishana na baba yako
 
Enzi hizo kulikuwa huyo aliyejiita Mzee Punch. Nadhani alikufa. Vijana wa leo mlimkuta?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo Punch nilisimuliwa na anko wangu aliyewahi kua mwanafunzi wa UDSM 1980s mpaka mimi naingia UDSM 2000s Punch sijamkuta, inaonekana ni mtu wa kitambo sana.

Anko anasema enzi za Punch ukifanya tukio tu kesho yake unakuta umechorwa kibonzo(katuni) na umebandikwa kwenye kuta za cafeteria
Ukionekana umelewa, umekula kwa kwa kutumia njia za udanganyifu wa kuponi(enzi hizo hakukua na boom , wanafunzi wote wanakula kwa kuponi)'aisee we jua bwana Punch anakuhusu

Back
Top Bottom