Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Namsubiri mtu amtaje wangu wa roho PEAL (ingawa ameadimika) nimvunje kiuno.
 
nigependa kutoka na X pin,he is really funny,he will be drunk but i will have good time...sorry dada charity kama nimekukwaza...
 
NN mwanzisha mada I wish uliweka conditions mojawapo ikiwa mtu akishatajwa (picked) asitajwe tena. Naona ishakuwa fujo sasa kila mtu sasa anamtaka Preta Preta noma hii hapa sio Manzese wakuu. Ila the good thing ni kwamba I was the first to pick Preta so mliofuata wote imekula kwenu tafuteni wengine, of course bado yeye Preta mwenyewe ndio mwamuzi wa mwisho.

mi naona kila mtu amtaje anyemwish angetoka naye tu, hata akitajwa mara kumi......mwisho wa siku mtajwa atasema na yeye anawish angetoka na nani (na manaweza msitajwe japo mmemchagua)
 
Kama vile sijaelewa swali ..ngoja nipate b/fast kwanza ?Mtoa mada Kama nikitaja kina dada wenzangu sawa si sawa?.................................

Dada, kama huo ndio mwelekeo wako basi sioni tatizo....
 
Nyamayao, who else? Akiwa busy nitatoka na Noname!
Masaki.... should i take that as an insult? manake mie siwezi kuwa alternative bwana :becky:

Ngabu mbona wewe unaogopa kumsema unaetaka kutoka nae.....
 
sorry Nguli I meant Ngabu .... Ban me please... i need a break... but I will edit the post...
 
nigependa kutoka na X pin,he is really funny,he will be drunk but i will have good time...sorry dada charity kama nimekukwaza...
Umeona Senksi niliyokugongea? Naamini umeelewa maana yake.

Hebu twende PM basi.............
 
Back
Top Bottom