Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Wakongwe wanadunda tu
Heshima kwao

Kipindi hicho maeneo mengi Tz hata smartphone hakuna.
Enzi hizo kuna watu walikuwa wananinanga eti nashinda JF!

Nipo hapa tokea mwanzo, 2006.

Nina mabandiko takriban 92,000 na kitu.

Kuna watu wamejiunga 2016, 2018, 2019 na wanamabandiko zaidi yangu.

Iweje wanizidi kiasi cha mabandiko kama hawashindi JF zaidi yangu?
 
Back
Top Bottom