Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Ningependa kuolewa na msukuma.

Acheni, wametapakaa, na huwa hawachugui mwanamke, hasa kama ni mweupe, inakuwaje bado mpompo kama kweli mnataka kuolewa nao? Wasukuma nilisoma nao, sekondari wengi sana, O-level na A-level, ilikuwa akiambiwa mambo na msichana, basi jamaa nduki kuja kusimulia, nimependwa na msichana wa Dar, yaani nilikuwa napishana naye kaniambia mambo!
 
huenda yakawa majungu haya naona kabila lako halijatajwa mkuu.
 
Acheni, wametapakaa, na huwa hawachugui mwanamke, hasa kama ni mweupe, inakuwaje bado mpompo kama kweli mnataka kuolewa nao? Wasukuma nilisoma nao, sekondari wengi sana, O-level na A-level, ilikuwa akiambiwa mambo na msichana, basi jamaa nduki kuja kusimulia, nimependwa na msichana wa Dar, yaani nilikuwa napishana naye kaniambia mambo!
Ha haaa...
 
Ndio pesa muhimu japo sio number 1,2 or 3 in my list.
Khaaa jamani mtoto wewe kwa kuchengesha mambo?,yaani macho makavuu, kama vile unasema kweli? ati japo sio namba 1,2 or 3 in your list? ,haha haaaaaaaaaaaaaaaa oOlivia Papa John eeehn.
 
1463929226343.jpg
eeeeeeeee?
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie
Hapo umehiti penyewe kabsa, its the only specie of mankind in tz that have remained, (wengine wasijiskie vibaya ni maoni tu)
 
Back
Top Bottom