Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Tuliozaliwa na kukulia Dar kwa baba na mama makabila tofauti na kijijini tulienda mara moja, kabila letu ni lipi?
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie

Duh kweli usilolijua ni sawa na Ucku Wa giza!!
 
Tuliozaliwa na kukulia Dar kwa baba na mama makabila tofauti na kijijini tulienda mara moja, kabila letu ni lipi?..

Fuata kabila LA baba ako
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie

Vipi tiari bado?
 
Wasukuma yawezekana wana sifa unazozitaja. Shida yao: ni washirikina sana. They are killers. Mnisamehe wasukuma mliopo. Ha ha haaaaa.

Wasukuma sio washirikina sisi.....Ila tuna fahamu sana sayansi ya asili.. Ha ha ha ha ha
 
Mhh!!sisi wahaya tumewekwa benchi kwanza.In fact sisi tutaoa wakina Rihhana na Beyonce,mwampulila inywe baisiki!?
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie
kwa iyo rangi yako kama mafuta ya bunduki..wasukuma tuwachee kwakweli..lol
 
Nawapenda wasukuma. nimefanya jitihada nimempata na nimeolewa. ni watu wanaojua kupenda mke hadi majirani na marafiki wanaona wivu. lol
 
Back
Top Bottom