Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,112
Hamtufumanii ila mnatukuta tu, nyinyi ndio tunawafumaniaWanawake tumeumbiwa huruma na kusamehe kuliko wanaume ndio maana tukiwafumania tunasamehe na maisha yanaendelea
Hamtufumanii ila mnatukuta tu, nyinyi ndio tunawafumaniaWanawake tumeumbiwa huruma na kusamehe kuliko wanaume ndio maana tukiwafumania tunasamehe na maisha yanaendelea
Huu sio utetezi mkuu ila in reality more than 80% ya wanaume wanaochepuka ni tamaa tu na sio upendo kwa waliochepuka nao ndio maana ataomba msamaha kwa mkewe na maisha yanaendelea ILA KE akichepuka swali kubwa litakalomuumiza ME ni ina kwamba dharau, haridhiki, upendo umeisha n.k so kwa mtazamo huo huwezi kuendelea naeAiseee!!!
Ndio kusema huu ni utetezi kuwa tuwaache muendelee tu kuchepuka!!
MmmmmmmmMwanamke akichepuka halaf ukamsamehe inakuwa ni sawa na paka aliyeingia jikoni akaiba mboga halaf ukamuacha tu.
Ataendelea na hiyo tabia ndio maana mwanamke akichepuka hamna jingine zaidi ya kumuacha
MaybeNi Hivi, namna ambavyo mwanamke na mwanaume tunatazama vitu ni tofauti sana. Ndio Maana tukija kwenye suala la michepuko Hali inakuwa tofauti.
Mwanaume ameumbwa kumiliki, na milki yake ina mipaka fulani endapo mipaka hiyo ikivamiwa huwa na kawaida ya kupambana ilikuokoa. Ikitokea kashindwa repercussion yake ndo huamua kuachana kabisa na hizo mambo kama njia ya kujinusuru na hilo.
Hali huwa tofauti kwa wanawake wao hawana karama ya kumiliki ndio hapo tu tunapotofautiana. Kwa kutokuwa na karama hii ndio maana huwa ni rahisi kwa mwanamke kukubaliana na Hali yoyote ile, hasa katika suala mahusiano.
Men look for respect in every thing they do.
But women look for affection, it depend on how thing makes her feel about.
If it doesn't feel alright she tend to get rid of it.
Inategemea mana hata sisi wanawake tumetofautiana. ......Mmmmh!! Mi sidhani aiseee!! Lazima kutakuwa na kitu kinamiss.
Marehemu bibi yangu aliniambia hilo kua hakuna mwanaume anakubali kushare ile kitu, mwanaume anasikia kinyaa sana akijua kuna aliyepita hapo, hata iweje hii ni kwa mume wako tu.Kwa asilimia kubwa ya wanaume yale ni maeneo yake ya kujidai ambayo mwanaume mwingine yoyote hana ruhusa ya kuingia. Na inapotokea mwanaume mwingine kapita basi hakuna cha msalie mtume ni mahusiano au ndoa kufa japo wako asilimia ndogo sana ya wanaume ambao labda wanaweza kusamehe. Inawezekana pia wanaume tulio wengi hatuwezi kusamehe kitu kama hicho kinapotokea ukilinganisha na wanawake pamoja na baadhi kuwa na moyo wa kusamehe lakini si kusamehe hili tendo la njemba nyingine kujidai kwenye utamu.
Wanaume tutawaweza wapi nyie kila jambo lenu mnalitengenezea njia ya kuwa jepesi."eti mnakutwa"Nasikia eti ! Eti lakini...
Mwanamke anafumaniwa ila mwanaume anakutwa...!
Wazee wanapenda sema kujidefend kwa staili hizoMkuu umenichekesha sana, jamii zetu siku zote zimeweka tungo defensive kwa makosa ya wanaume ingawa yako sawa na wanawake, ETI "anakutwa" anyway ME tunalinda makosa yetu kwa kutumia lugha nzuri ili yaonekane kama kitu kidogo sana meanwhile tunawaumiza wenza wetu
Wanawake ni wa kugongwa tuu.....
Tunawagonga tuu.... Then tunawatema...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sasa baby mbona unakuwa mkali hivyo?Wanaume tutawaweza wapi nyie kila jambo lenu mnalitengenezea njia ya kuwa jepesi."eti mnakutwa"
Nyie wanawake vipi jamani? Hebu angalieni na maumbile yenu na nadharia ya kuumbwa kwetu kabla hamjataka kutoka nje the way we do.Wanawake tuna moyo wa kusamehe sanaa! Ila mwanaume akisalitiwa jamani yaani dunia nzima inaweza jua jinsi wanavyoumia na ndiyo wanavunja mahusiano papo hapo
Hebu na wewe kuwa na staha kidogo ya maongezi. Kumbuka mamaako ni mwanamke piaWanawake ni wa kugongwa tuu.....
Tunawagonga tuu.... Then tunawatema...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hivyo eeehHamtufumanii ila mnatukuta tu, nyinyi ndio tunawafumania
Hongera mama kwa kujaliwa hamu, lakini unajua wewe ni 60% ya mafanikio ya mumeo kitandani?Wanaume simply me naona mna roho ndogo na hamna vifua vya kubeba maudhi,mngepewa maisha ya hekaheka na mambo meengi waliyonayo wanawake sijui ingekuwaje...
Mnajijua kushare hamuwezi yet mna show za kichovu,hamna commitment ya kutosha kwenye mahusiano /ndoa,some of u treat ur ladies like trash mnategemea nini zaidi ya kusaidiwa?
Hutaki kusaidiwa make sure u make effort kumtuliza ur woman,no effort no results.. Over
Ukweli mkavu huuMwanamke anagawa kwa yule mwenye potential ya kumreplace Mme wake ila mwanaume anafanya na yeyote atayefanya Dudu isimame!
Yani yanaendelea tena kwa nguvu sana utadhani hakuna kitu kilichotokeaHivi huwa yanaendelea vizuri tu kama awali, au ndio ile ya ilimradi!!!