Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Nilimaanisha hivyo nazani wakati na post nimeikosea, ila mie tu siwezi lazimisha huyo mke wa rafiki wa mme awe rafiki yangu kama hatuendani basi tutabaki kuwa na ukaribu tu si rafiki
Hii inafaa sana kama mnakaa walau 25 kilometers away ndio maana nika suggest mmoja kama anajenga Bunju basi mwingine akajenge Kibamba ili mume mnatembeleana kinafiki kwa sababu ya waume zenu lakini sio ile ya kuonana kila siku
 
Hii inafaa sana kama mnakaa walau 25 kilometers away ndio maana nika suggest mmoja kama anajenga Bunju basi mwingine akajenge Kibamba ili mume mnatembeleana kinafiki kwa sababu ya waume zenu lakini sio ile ya kuonana kila siku
Hiyo ni kweli kabisa, mmoja anaweza kuwa yupo sawa kabisa ,ila mwingine ndiyo hivyo tena kulumbana ni lazima na ukute waume nao hawana msimamo kwa wake zao ni ngumu kuwa na amani
 
Hakunaga urafiki wa milele, kwanza hilo tulijue.. Rafiki yako wa primary utampoteza ukihamia secondary, rafiki wa mtaani kuna muda utampoteza, rafiki wa o level, utampoteza rafiki wa a level utampoteza, rafiki wa chuo utampoteza, hata wa kazini pia utakuja mpoteza, wote tutakuwa tumeexperience hili jambo.. Ukitoka hatua moja kwenda nyingine unapoteza watu, mkiachana katika harakat za maisha, kila mtu akashika njia yake lazima upoteze rafiki pia.
 
Hata mwanamke,
Kabla hamuishi Wote utampenda Sana, ila ukimuoa utamuona wa kawaida Sana.

Ata mchepuko pia,
Ananoga kwa sababu mnakutana kwa machale,
Chukua weka ndani afu uuone Moto wake


Ndo maana ukaja ule msemo,
"Mahawara hawaachani"

Ila wanandoa Wanaachana Kama kawaida
 
Rafiki yako wa primary mkija kukutana kazini inakuwaje? Kupotezana kupo pamoja na kukutana tena.
 
But all in all, kama unataka urafiki wenu uendelee kudumu, basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako
 
Ngumu saana kuurejea urafiki ule wa awali, inaweza kutokea japo ni mara chache mnooo..

Atakukuta una rafiki tofauti, ngumu yeye kuwa best kama zamani.
Katika rafiki zangu muhimu watano, wawili nilisoma nao primary school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…