Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,243
- 38,783
Nikweli Kabisa
Hii inafaa sana kama mnakaa walau 25 kilometers away ndio maana nika suggest mmoja kama anajenga Bunju basi mwingine akajenge Kibamba ili mume mnatembeleana kinafiki kwa sababu ya waume zenu lakini sio ile ya kuonana kila sikuNilimaanisha hivyo nazani wakati na post nimeikosea, ila mie tu siwezi lazimisha huyo mke wa rafiki wa mme awe rafiki yangu kama hatuendani basi tutabaki kuwa na ukaribu tu si rafiki
Hii inategemea na mawasiliano ya mara kwa mara kwa njia ya simuNi ngumu ila nazungumzia umbali wa Mkoa kwa mkoa
ThanksNikweli Kabisa
Hiyo ni kweli kabisa, mmoja anaweza kuwa yupo sawa kabisa ,ila mwingine ndiyo hivyo tena kulumbana ni lazima na ukute waume nao hawana msimamo kwa wake zao ni ngumu kuwa na amaniHii inafaa sana kama mnakaa walau 25 kilometers away ndio maana nika suggest mmoja kama anajenga Bunju basi mwingine akajenge Kibamba ili mume mnatembeleana kinafiki kwa sababu ya waume zenu lakini sio ile ya kuonana kila siku
Kwani hapo unadhani ni ukaribu ganiMimi ninazungumzia ukaribu wa majengo ya kuishi na sio ukaribu au umbali wa kuwasiliana. Sasa sijui wewe ulikuwa una maanisha nini mkuu?
Nilidhani una maanisha ukaribu wa mawasiliano ya simu
Rafiki yako wa primary mkija kukutana kazini inakuwaje? Kupotezana kupo pamoja na kukutana tena.Hakunaga urafiki wa milele, kwanza hilo tulijue.. Rafiki yako wa primary utampoteza ukihamia secondary, rafiki wa mtaani kuna muda utampoteza, rafiki wa o level, utampoteza rafiki wa a level utampoteza, rafiki wa chuo utampoteza, hata wa kazini pia utakuja mpoteza, wote tutakuwa tumeexperience hili jambo.. Ukitoka hatua moja kwenda nyingine unapoteza watu, mkiachana katika harakat za maisha, kila mtu akashika njia yake lazima upoteze rafiki pia.
Very trueHata mwanamke,
Kabla hamuishi Wote utampenda Sana, ila ukimuoa utamuona wa kawaida Sana.
But all in all, kama unataka urafiki wenu uendelee kudumu, basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yakoHata mwanamke,
Kabla hamuishi Wote utampenda Sana, ila ukimuoa utamuona wa kawaida Sana.
Ata mchepuko pia,
Ananoga kwa sababu mnakutana kwa machale,
Chukua weka ndani afu uuone Moto wake
Ndo maana ukaja ule msemo,
"Mahawara hawaachani"
Ila wanandoa Wanaachana Kama kawaida
Ngumu saana kuurejea urafiki ule wa awali, inaweza kutokea japo ni mara chache mnooo..Rafiki yako wa primary mkija kukutana kazini inakuwaje? Kupotezana kupo pamoja na kukutana tena.
Katika rafiki zangu muhimu watano, wawili nilisoma nao primary schoolNgumu saana kuurejea urafiki ule wa awali, inaweza kutokea japo ni mara chache mnooo..
Atakukuta una rafiki tofauti, ngumu yeye kuwa best kama zamani.
Ndio walikuwa mabest wako wakuu primary? Je mlipotezana!? Deal zenu kwa sasa zinaendana, vipato vyenu vinaendana!?Katika rafiki zangu muhimu watano, wawili nilisoma nao primary school
Ninafanana nao sio kwa 100% ila kwa asilimia kubwa tu, like 89%Ndio walikuwa mabest wako wakuu primary? Je mlipotezana!? Deal zenu kwa sasa zinaendana, vipato vyenu vinaendana!?
Moja kati ya case chache kutokea, 15%Ninafanana nao sio kwa 100% ila kwa asilimia kubwa tu, like 89%
OkayMoja kati ya case chache kutokea, 15%
It's because you two have a lot of pending issue to talk aboutNi kweli. Mkiwa mbali urafiki unazidi kuwa mtamu zaidi.
Hakika ni ngumu sana mkuuHiyo ni kweli kabisa, mmoja anaweza kuwa yupo sawa kabisa ,ila mwingine ndiyo hivyo tena kulumbana ni lazima na ukute waume nao hawana msimamo kwa wake zao ni ngumu kuwa na amani