Unapotembea na mume wa mtu, kubali wewe ni mwanamke daraja la pili

Je mke wa mtu anapotembea na mwanaume single anakuwa daraja gani?
Asemeee tena wkt mwngne house boy kbsaaa au korooo
Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mme wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe kwamba yupo ofisini au katika kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokua nyumbani kwake kwa mkewe huwezi kumpigia au hata kumtumia text.

Dada yangu wewe ni mdoli? Anakuchukua kwenu na gari yake anakupeleka katika vyumba vya hotel lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzima. Dada yangu shtuka!

Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani kwamba ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi za kupata mtu sahihi wa kuweza kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yeye anapoishi.

Dada yangu mpaka lini utaendelea kujiharibia future yako? Anatoka na wewe out na anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile. Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu je mwili wako ni wa majaribio? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa martenity dress na vitu vya mtoto.

Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikua hujui jamaa huwaelezea marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwalezea yale anayofanya na mkewe. Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa.

Unazo picha zake katika simu yako na ume save namba yake kwa majina mazuri kama Sweetheart, My love, etc.Lakini picha zako haziwezi kupatikana ktk simu yake na namba yako amei Save kama Fundi Genereta, Fundi gari, Mzibua Chemba.

Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asie na akili sehemu zake za siri ndizo zitakazoumia zaidi.

Amka dada yangu unatumika
Nimeicopy somewhere.
Je ni kweli au wivu tu kwa dada zetu wanaopendwa na hao wanaojiita waume za watu?
 
Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mme wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wabelie la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe kwamba yupo ofisini au katika kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokua nyumbani kwake kwa mkewe huwezi kumpigia au hata kumtumia text.

Dada yangu wewe ni mdoli? Anakuchukua kwenu na gari yake anakupeleka katika vyumba vya hotel lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzima. Dada yangu shtuka!

Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani kwamba ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi za kupata mtu sahihi wa kuweza kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yeye anapoishi.

Dada yangu mpaka lini utaendelea kujiharibia future yako? Anatoka na wewe out na anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile. Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu je mwili wako ni wa majaribio? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa martenity dress na vitu vya mtoto.

Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikua hujui jamaa huwaelezea marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwalezea yale anayofanya na mkewe. Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa.

Unazo picha zake katika simu yako na ume save namba yake kwa majina mazuri kama Sweetheart, My love, etc.Lakini picha zako haziwezi kupatikana ktk simu yake na namba yako amei Save kama Fundi Genereta, Fundi gari, Mzibua Chemba.

Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asie na akili sehemu zake za siri ndizo zitakazoumia zaidi.

Amka dada yangu unatumika
Nimeicopy somewhere.
Je ni kweli au wivu tu kwa dada zetu wanaopendwa na hao wanaojiita waume za watu?
Mbona kwenye soka kuna timu za daraja la kwanza, la pili mpaka la tatu mkuu? Na kumbuka kuna timu zinashuka daraja na nyingine kupanda. Hujawahi sikia beki tatu akipanda daraja?
 
Wala usinielewe vibaya namjibu alieandika. Mme wa mtu to me yes/ no kwan dada umekutana na wakaka wangapi hawajavaa pete na mkishia kutafunana?? ukaja jua baadae???

Pili daraja la kwanza my foot! Ahaaaa eti mrs kiberiti ni daraja la kwanza hajui hata gari mme wake ni T..... No ngapi??? Sio hilo tu hawajahi hata kumpeleka shoping, na mbaya zaidi kila siku yeye ni kupikia kuni machozi yanamtoka ila bado anakomaa na daraja la kwanza.

Cc. Wakurya wote maana wao daraja la pili ndo first lady na hawafichi, wanasema hawawezi kula kitu wamejificha. Wakurya daraja la pili oyeeee!

Note. Hakuna anaependa kuwa na mme wa mtu ila inatokea na si kila anaekuwa na mme wa mtu lazima awe malaya au atoe mimba.

Tenaaa embu tuache utani kuna waume za watu vumbi na rami. Alieandika haya maneno ni bahati mbaya alikutana na mme vumbi.

Kila la kheri wale wote wakomalia daraja la kwanza wao kila siku machozi vizuri vyote wanaviona kwenye tv ya jirani.

Mwisho ni bora kulia kwenye benz kuliko baiskeli

teeena bora nife kwa maji ya ziwa victoria kuliko ndoo moja ya maji.

N,b. Kuchepuka ni kubaya kama hujielewi , mm uko kwenye uchepukaji sipoooo nampenda bwana yesu. ila inategemea loooo! Shetani nae ana majaribu. Unakutana na mwanaume ni msafiii hakuna mfano. Wananzengo na uzee huu nimeona mengi kiasi kwamba sumu ya mme wa mtu mwenye hela hainiuwi ilaaaa sumu ya mme wa mtu msafiiiiiii lazima iniuwe maziwa yako kwa mangi hapa jirani. Ni hayo tu.
mtoto nmekupendaa buree!! Hao wanaojisema jiwe limewapataa ndo hao hao kutwa kuzungukaa njee na vidoshi!! alafu subiri niwape sirii mwanaume akiwa na pesaa na anaijari vema familia yake huwa hakuna shidaa mbonaa!!? n boraa kuwa na mwanaume tajirii aisee! kwan kuna rahaa yake!
 
mwanaume akiwa na pesaa ni rahaa sanaa ila awe anajari familia yake hata akichepukaa hakuna shidaa! kodi ya mezaa inasomaa mafuta full tank!
Mwanaume mwenye uwezo duni shidaa aisee et nae anachepukaa jaman yeye familia inamshindaa tena anazidi kuongeza shida! my point ni kwamba hakuna dalaja la pil or la kwanza inategemea wew upepata mume wa mtu dalaja Gan!!
 
acha tuwale na kuwaachia maumivu. na sasa hivi mambo yalivyobana nyumba ndogo zote zimekuwa na hali ngumu mno!!!
 
Hii mada na print naweka nyuma ya mlango wa ofisi.

Mtoa mada naomba idhini ya kusambaza kazi yako kwa whatsapp
 
mtoto nmekupendaa buree!! Hao wanaojisema jiwe limewapataa ndo hao hao kutwa kuzungukaa njee na vidoshi!! alafu subiri niwape sirii mwanaume akiwa na pesaa na anaijari vema familia yake huwa hakuna shidaa mbonaa!!? n boraa kuwa na mwanaume tajirii aisee! kwan kuna rahaa yake!
mm sinaga unafiki nasemaga ukweli hao hao wanaojiita daraja la kwanza ndo wanabinjuka na shamba boy. Asante kuniunga mkono tubaeleze ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom