Unapotembea na mume wa mtu, kubali wewe ni mwanamke daraja la pili

Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mme wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe kwamba yupo ofisini au katika kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokua nyumbani kwake kwa mkewe huwezi kumpigia au hata kumtumia text.

Dada yangu wewe ni mdoli? Anakuchukua kwenu na gari yake anakupeleka katika vyumba vya hotel lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzima. Dada yangu shtuka!

Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani kwamba ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi za kupata mtu sahihi wa kuweza kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yeye anapoishi.

Dada yangu mpaka lini utaendelea kujiharibia future yako? Anatoka na wewe out na anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile. Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu je mwili wako ni wa majaribio? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa martenity dress na vitu vya mtoto.

Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikua hujui jamaa huwaelezea marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwalezea yale anayofanya na mkewe. Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa.

Unazo picha zake katika simu yako na ume save namba yake kwa majina mazuri kama Sweetheart, My love, etc.Lakini picha zako haziwezi kupatikana ktk simu yake na namba yako amei Save kama Fundi Genereta, Fundi gari, Mzibua Chemba.

Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asie na akili sehemu zake za siri ndizo zitakazoumia zaidi.

Amka dada yangu unatumika
Nimeicopy somewhere.
Je ni kweli au wivu tu kwa dada zetu wanaopendwa na hao wanaojiita waume za watu?
Vipi wale walioko huku na huku..?? Yaani kaolewa na kaachiwa jijumba, na bado anapelekwa kwenye vyumba vya hoteli?
 
Kusema ukweli umesema na huo ndo ukweli haswaa na Mara nyingi daraja la pili huwa hawapandishwi kwenda daraja la kwanza hata wacheze vyenga vingi lakin ukwel ndo huo, kuna wengine wanajipa moyo et kama ww daraja la kwanza kwanini amekuja kwangu, mwanaume kwa mwanamke anaongozwa na tamaa ndio maana akirudi kwake hatapenda umpigie simu Mara kwa Mara kwa sababu wewe ni kipozeo na huo ndo ukweli kama mwenye hela mtamu basi tafuta wa kwako kama umeshindwa basi tafuta hela za kwako maana ninaamin hapo kwenye utamu ni hela tu na si kingine , mtaparuana weeee lakini hii post ni msumari wa nchi za kutosha, na kwa hali ya magufuri hii daraja la pili wanaotegemea Huduma kwa waume za watu hali mbaya kuna mwingine kurudisha chumba juzi juzi kwa kisingizio anahamia Dodoma kumbe ndio kwao!
Word!
Ukweli mchungu!
 
Dah.Vijana wengi hawataki kuoa ndio wanaleta haya matatizo.Utakuta dada mzuri kweli anahangaika na jibaba lenye familia yake.Anaishia kuishi maisha ya mashaka mashaka manake watu wa aina hiyo huwezi kukuta wana akaunti facebook au instagram kwani wanaogopa matendo yao kuwekwa wazi
 
Kusema ukweli umesema na huo ndo ukweli haswaa na Mara nyingi daraja la pili huwa hawapandishwi kwenda daraja la kwanza hata wacheze vyenga vingi lakin ukwel ndo huo, kuna wengine wanajipa moyo et kama ww daraja la kwanza kwanini amekuja kwangu, mwanaume kwa mwanamke anaongozwa na tamaa ndio maana akirudi kwake hatapenda umpigie simu Mara kwa Mara kwa sababu wewe ni kipozeo na huo ndo ukweli kama mwenye hela mtamu basi tafuta wa kwako kama umeshindwa basi tafuta hela za kwako maana ninaamin hapo kwenye utamu ni hela tu na si kingine , mtaparuana weeee lakini hii post ni msumari wa nchi za kutosha, na kwa hali ya magufuri hii daraja la pili wanaotegemea Huduma kwa waume za watu hali mbaya kuna mwingine kurudisha chumba juzi juzi kwa kisingizio anahamia Dodoma kumbe ndio kwao!
Umeonaee. Ila ninachowasifu hawakatagi tamaa
 
wew ulieenda kumfata uyoo mke wa pil ndo mburura wa kwanza si mnakujaga kulalamika huku oooh wife hanipi ili iki naenda kwa mchepuko alafu saiz mnaita daraja la pil fyuuuuuu

hatuachi na hatukataiiiii mume wa mtyuuuu ukitaka wako mzae mwenyewee kizur kula na mwenzakooo
Hahahahaha eee ndo kazi yenu kuwapa wakinyimwa na wake zaoo kwani nan kabisha ndo utafute wa kwako usisubiri wanaonyimwa na wake zao siku wake zao wakishituka na kuanza kuwapa soko huna tena
 
kaka daud vip mbna povu limekutokaaa
 
Hahahahaha eee ndo kazi yenu kuwapa wakinyimwa na wake zaoo kwani nan kabisha ndo utafute wa kwako usisubiri wanaonyimwa na wake zao siku wake zao wakishituka na kuanza kuwapa soko huna tena
Aiseee! Nawe wamekuchukulia nini? Just thinking!
 
Wala usinielewe vibaya namjibu alieandika. Mme wa mtu to me yes/ no kwan dada umekutana na wakaka wangapi hawajavaa pete na mkishia kutafunana?? ukaja jua baadae???

Pili daraja la kwanza my foot! Ahaaaa eti mrs kiberiti ni daraja la kwanza hajui hata gari mme wake ni T..... No ngapi??? Sio hilo tu hawajahi hata kumpeleka shoping, na mbaya zaidi kila siku yeye ni kupikia kuni machozi yanamtoka ila bado anakomaa na daraja la kwanza.

Cc. Wakurya wote maana wao daraja la pili ndo first lady na hawafichi, wanasema hawawezi kula kitu wamejificha. Wakurya daraja la pili oyeeee!

Note. Hakuna anaependa kuwa na mme wa mtu ila inatokea na si kila anaekuwa na mme wa mtu lazima awe malaya au atoe mimba.

Tenaaa embu tuache utani kuna waume za watu vumbi na rami. Alieandika haya maneno ni bahati mbaya alikutana na mme vumbi.

Kila la kheri wale wote wakomalia daraja la kwanza wao kila siku machozi vizuri vyote wanaviona kwenye tv ya jirani.

Mwisho ni bora kulia kwenye benz kuliko baiskeli

teeena bora nife kwa maji ya ziwa victoria kuliko ndoo moja ya maji.

N,b. Kuchepuka ni kubaya kama hujielewi , mm uko kwenye uchepukaji sipoooo nampenda bwana yesu. ila inategemea loooo! Shetani nae ana majaribu. Unakutana na mwanaume ni msafiii hakuna mfano. Wananzengo na uzee huu nimeona mengi kiasi kwamba sumu ya mme wa mtu mwenye hela hainiuwi ilaaaa sumu ya mme wa mtu msafiiiiiii lazima iniuwe maziwa yako kwa mangi hapa jirani. Ni hayo tu.
Weitaaaa mletee grand malt bariiiidiii huyu mwananzengo....
 
Back
Top Bottom