Unamjua Mfanyakazi wa ndani (Jane 36) huko Marekani aliyeiba manii ya boss wake kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba na kudai huduma za mtoto?

Meneja CoLtd

Member
Mar 6, 2021
91
99
Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi

Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba.

Jane aliiona kondomu hiyo yenye manii ya boss wake kwenye pipa la takataka kipindi ambacho anauhitaji mkubwa wa mtoto, kwahiyo aliamua kuichukua kondomu kujipandikiza mimba ili azae na boss

Baada ya miaka kadhaa Mwanadada Jane alifungua shauri mahakamani la kutaka kupewa matumizi ya mtoto na alishinda kesi na mahakama ilimuamuru baba wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 28 kulipa $2,000,000 cha malezi ya mwanawe kwa kipindi cha miaka 3 ambayo alimkosa.

Lakini baba wa mtoto bado anapango kuchukua hatua nyingine za kisheria dhidi ya mama huyo kwa kuiba majimaji yake ya mwili na kukiuka faragha yake,

Jane yeye hana habari, kwanza kaacha kazi ya usafi na kuanzisha biashara mbalimbali kupitia pesa aliyoipata.


dc3a0c4f649caa09cd8168b352b9a7bf.png
 
Asante mungu kwa kuniamsha salama maana haya ninayoyaona kwenye huu ulimwengu ni balaaa
 
Back
Top Bottom