Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

Kuwa star!! jamani ombeni muwe watu wa kawaida mkiwa mnajulikana ni shida sana maisha yenu yote hamtakua na amani.

Sio walimu, wafanyakazi, men na warembo wa chuo yani ni full matatizo halafu ukicheki sina mda na mapenzi.
Niliteseka sana kutizamwa.
 
Mimi nilikutana n kitu cha ajabu sana. Mchakamchaka wa ile wiki sitasahau. Utakuta nipo kwenye foleni ya usajili mara naambiwa chumbani kwako kuna mtu kapangiwa hivyo nenda ukatoe vitu vyako. Nafika kule natoa vitu naambiwa kupiga picha za vitambulisho mwisho nusu saa baadaye halafu naenda pale nakutana na foleni ya watu wasiopungua mia nne. Huku nakuta sms ya rafiki yangu "Oyaa slip za benki zinahitajika huku kwa wahasibu... wamesema mwisho saa nane" na muda huo ni saa saba. Na mengine meengi.. Yaan hakuna nilichokamilisha wiki ile. Kila kitu nilikiweka pending. Nikatuliza akili nikaanza kushughulikia kimoja kimoja. Hatimaye nikamaliza vyote. Sitasahau.
hahhahahahah kha pooe mkuuuu
 
Ila UDSM jamani kuna watoto wakali we acha tu. Yaani umemaliza kipindi ukitoka nje mimate inakujaa tu kwa tamaa. Kazi ya kufundisha watoto wazuri inahitaji kipaji na ujasiri mkubwa sana huku ukimshirikisha Mungu.
 
acha tu, siku ya1 naingia ifm nikaenda canteen kula kumbe niyawatu kama malecture basi ugali samaki nikalipishwa elfu sita, kwa kweli niliumia sana.
 
dah nakumbuka,nikaenda cafeteria kununua RB ase nliona msosi aupandi kabisa nkabakisha wa kutosha tu hat sikuona ladha yake,coz apo tayar shazoea mamisosi ya hom baada ya kitambo kupita bila kula wali maharage.badae ikawa ndo msosi ya ukwel baada ya kuytasoma maish
 
Aiseee! First week ni hectic kwakweli!! Mie ilinishangaza ratiba, ina vipindi nonstop hadi usiku,nikawaza, 'inamaana hakuna kupumzika hata kidogo' nikachoka, kumbe unaangalia vinavyokuhusu tu.

Yote tisa, kumi lecture rooms zilikuwa kimbembe, unaisaka hadi unahisi kuzimia, kuna siku katika kuisaka seminar room na rafiki yangu tukakutana na lecturer nae anatafuta room, akatuuliza hiyo room ilipo tukamjibu hata sisi hatujui ndio tunaitafuta, sijui kama aliipata maana sisi tulichoka tukaingia chumba kimoja tukatulia na walikuwa wanasoma hesabu.

Lile jengo hadi kulizoea ilinichukua muda sana.
 
UDOM nini?
 
Hii ilinikuta na jamaa yangu mmoja, tulipangiwa chumba na dogo mmoja wa Moshi analipuliza bange then mademu sanaa tukahama. Kule tulikohamia baada ya siku mbili likaingia BWABWA kabisa. Ilibidi tulizoee tu, then lilikuwa msaada mkubwa room coz lilikuwa safi mno na muda wa ziada lilikuwa halishindi campus linakuwa kwa basha.
Mkuu mlikua hamlisemi vibaya.
 
Aiseee! First week ni hectic kwakweli!! Mie ilinishangaza ratiba, ina vipindi nonstop hadi usiku,nikawaza, 'inamaana hakuna kupumzika hata kidogo' nikachoka, kumbe unaangalia vinavyokuhusu tu.

Yote tisa, kumi lecture rooms zilikuwa kimbembe, unaisaka hadi unahisi kuzimia, kuna siku katika kuisaka seminar room na rafiki yangu tukakutana na lecturer nae anatafuta room, akatuuliza hiyo room ilipo tukamjibu hata sisi hatujui ndio tunaitafuta, sijui kama aliipata maana sisi tulichoka tukaingia chumba kimoja tukatulia na walikuwa wanasoma hesabu.

Lile jengo hadi kulizoea ilinichukua muda sana.
duh nimecheka sana
 
Back
Top Bottom