Umekataa kunilelea watoto wangu hivi unadhani nitakupenda kweli?

Kamwambie mhusika huko kwake. Kwan ni lazima aiseee ! Hayo ni makubaliano kati yenu wawili na si kumlazimisha mtu. Kama mama yao aliyewazaa kawashinda kuwalea ndio ataweza yeye! Peleka lawama zako kwa mama yao
nyie hata ndoa sinawashindwa kwa uchoyo na roho mbaya
 
Nimesoma maoni ya wanawake walio komenti humu asilimia 80 awajielewi na wala awawezi dumu kwenye ndoa
 
Kisa sijaunga mkono hoja yako uchwara hiyo?
Wenzio tunazalisha huku tunauwezo wa kulea!
Dada zetu walete malalamiko jamii forum nawewe dume zima!
Unatutilia aibu jombaaaa
acha usho soma vizuri
 
Mimi mwenywe siwezi kulea watoto wa mwanamke mwenzangu lbd ukute kafariki, papuchi ninalo tumbo ninalo sinizae Wangu....

NOTE: mungu anisaidie sipendi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwenye mtoto,.
Sio kila mwenye k na tumbo anazaa
 
Kwanini usiishi na mzazi mwenzio muwalee watoto wenu kwa pamoja, ujinga wako ndio utakao sababisha watoto wateseke, alafu muache ubinafsi wewe ungekuta huyo dada anawatoto ungekubali kuwalea? Mfyuuuuu
Ukijua kuzaa ujue na kulea sio uwe hodari wa kupachika mimba dada za watu utadhan upo kwenye mashindano.

Unaongea pumba unajuaje pengine mwanamke ameshindikana jamaa kaamua kusepa
 
Alaf mnaongoza kwa kuwasema single mother,,, swali je na wewe uko tayari kulea wawenzako
 
Possible kbs tafuta mtu aliyekaa na wakurya atakwambia wapoje
Ninaishi nao tangu utotoni na hilo unaloongelea halipo. Yaani uwe katili alafu una roho nzuri!! Hivi umejisoma kweli!! Roho mbaya ndio inakufanya uwe katili.
 
Hivi wanawake mnaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie
Hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati hutaki kuishi na wanangu. Endelea kujidanganya tu
Mrejesho
Jf hakuna wanawake wa kuoa kwa maoni niliyo yasoma

Si ndio nyinyi mnasemaga Single mothers humu, haya sasa Sungle father tena askari mzembe unalia lia hovyo.
 
Ninaishi nao tangu utotoni na hilo unaloongelea halipo. Yaani uwe katili alafu una roho nzuri!! Hivi umejisoma kweli!! Roho mbaya ndio inakufanya uwe katili.
ukatili ni uwezo wa kumchinja mtu ukiwa na hasira...wkt roho mbaya ni uwezo wa kumfanyia mtu jambo baya bila sababu tena ukiwa kwenye good mood kbs...nimekupa mfanoo...hapa tunabishania kiswahili tu...ila ukweli ni kwamba kuna watu makatili sana ukiingia kwenye kumi na nane zao lkn wanaroho nzuri sana ...usipowachokoza...kajifunze kiswahili vzr sio kila katili ana roho mbaya ingawa kila mwenye roho mbaya mara nyingi ni katili
 
Back
Top Bottom