ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,189
Km kuna kitu cha asili ambacho wanawake wanacho ni ROHO MBAYA yan katika wanawake 20 utakuta wenye roho nzuri moja kwa moja ni km 5 hv..Kwanini usiishi na mzazi mwenzio muwalee watoto wenu kwa pamoja, ujinga wako ndio utakao sababisha watoto wateseke, alafu muache ubinafsi wewe ungekuta huyo dada anawatoto ungekubali kuwalea? Mfyuuuuu
Ukijua kuzaa ujue na kulea sio uwe hodari wa kupachika mimba dada za watu utadhan upo kwenye mashindano.