Lugha ngumu jamani..nani anaweza kumsaidia rafiki yetu hapa..?Hili gazeti la wakenya la the EAST african LIMEANZA tena kutuchokonoa watanzania.Nape Uko wapi? Lipige ban Tanzania WAKALIUZE huko huko kwao
By the way, is there anything like a true democracy? How will it look like? Is it when there will be another party in power apart from CCM and Ukawa? Do we need another party for the sake of making a comparison with CCM?
Are political parties immune from those who lead them?
Atapata tabu gani? Huyo mungu wa Tanzania ila tambua kuna mfalme wa wafalme,Mungu wa miungu anaejua hatma ya waja wake,huu ujinga wa kutishiana uishie kwa wajingaKati ya watu watakaopata shida awamu hii ya tano ni pamoja na Ulimwengu. Naona ameanza kutapatapa mapema sana.
Barbarosa anataka apewe sababu za kuwapaka watu matope.Uliandika kuwa:
Ni nani mnufaika wa hayo yote unayoyaongelea? Ulimwengu hakuwa sehemu ya Serikali ya JMTZ? Mke wake ambaye ni familia ya Mareale, kuna familia ambayo imenufaika na ubadhirifu wa uchumi wa TanZania kama familia ya Mareale?
Nasema hivi:
Naomba uweke hadharani data za madai yako kuwa familia ya Marealle imenufaika na ubadhrifu wa uchumi wa Tanzania. Sisi wengine hatupendi kuwapaka watu matope bila sababu.
the depiction is in your mind. We need to learn to accept failure even if we love blindly and CCM as a party has failed. He could have been from UDP for all I care but the fact is no visible change will ever come to this country for as long as CCM is still operating with the same outdated methods of dictating the course of leadership. Argue as you may but that is the reality. Just do a little comparison of when Magufuli started and where we are now.
Just a point of clarification I don't support UKAWA because to me they are a product of CCM, all we need is true democracy in this country which will only be attained by the exiting of CCM. We need a point of comparison different from CCM. Right now all bad examples we have are of CCM, let some other party come, if they mess then we at least will have something to think CCM better of.
Uruhusu ubongo wako kufikiri zaidiHili gazeti la wakenya la the EAST african LIMEANZA tena kutuchokonoa watanzania.Nape Uko wapi? Lipige ban Tanzania WAKALIUZE huko huko kwao
Tutakaopata shida ni mimi na wewe mtu kama Jenerali ana Legacy yake ni mtu ambaye akiongea anasikilizwa na anaishi maisha yake yanaenda na hana uoga.Kati ya watu watakaopata shida awamu hii ya tano ni pamoja na Ulimwengu. Naona ameanza kutapatapa mapema sana.
You just summed it the way I had wanted..awesome conclusionIn the last 30 years, Tanzanians have been taken/'tested' through different types of leadership ranging from autocracy to liberal democracy....its fair to conclude that Tanzanians still need democracy spiced-up with "good intentioned" dictatorship just like the way Tanzanian drivers need tarmac roads spiced-up with "good intentioned" speed-bumps instead of road signs.
duh! Mbobezi na mfia lugha ya ccm upo? Am welcoming you to my tuition center my mfichama mate. Maybe you will come up with something like good after noon or something more than that. Karibu.Mkoloni mwingereza aliondoka miaka 50 iliyopita lakini lugha yake ya kikoloni ya kiingereza bado ipo vichwani mwa UKAWA NA WANAONA RAHA KUONGEA LUGHA YA MKOLONI MWINGEREZA NA KUENDESHA SIASA ZA KIKOLONI ZA KIINGEREZA.
Thank you Msafiri for raising the point..I was wondering about the same thing...why does one tend towards launching personal attacks on the Ulimwengu rather discussing the motion put forward.So now is about character assassination? What about the issue?
Unaonaje ukishambulia mada badala ya mtoa mada.wewe changanua kutokana na alichosema ulimwengu na siyo yeye binafsi.Wanaomjua vizuri Jerenali Ulimwengu wala hawashangai kuona ameanza 'smear campaign' dhidi ya Magufuli kwa kasi. Kwanza he has never liked this country licha ya kujenga maisha yote hapa, na kama sio Kagame kumkatalia nafasi ya uwaziri aliyokuwa anadai huko Rwanda leo asingekuwa nchini. Baada ya kutoswa akaamua kupambana na Tanzania, lakini akumbuke usitukane wakunga uzazi ungalipo.
Kwanini msifanyie kazi yanayoandikwa badala ya kukimbilia kujificha kwenye mchanga huku mikia yenu inaning'inia juu ?Hili gazeti la wakenya la the EAST african LIMEANZA tena kutuchokonoa watanzania.Nape Uko wapi? Lipige ban Tanzania WAKALIUZE huko huko kwao
ALIFUNGIE
umeelewa lugha iliyotumika..ALIFUNGIE
You are absolutely wrong. There is nothing to.counter because th author of this article has failed to come up concrete facts to substantiate his unwarranted and naive allegations against th president. He is hunting for "meal". It is unreasoble to argue much with him.Asilimia 95 ya wana Ccm hawajui kiingereza,huwezi kuwaona wanachangia huu uzi
Jamalm335..in addition to your point...change that is needed starts from family level then individual level then the masses as a whole.these have to go hand in hand with transparent politics.and the concerns of masses have to be heard.otherwise if they are not heard..the very same masses will resort to political hooliganism which will be very dangerous....for everyone..I beg to differ, it is highly incorrect saying there has been variations in leadership in Tanzania. The only changes we have at most gone through have been leaders as persons; Nyerere to Magufuli today. And political terminologies i.e, One Party state to multi parties alias 'democracy'. But in the actual sense the mode of leadership has been constant and similar all through. The fair conclusion is that Tanzania needs true democracy and multi partism in every essence of it and not to remain as mere terminologies. It is high time those in the helm of leadership (CCM) get to accept and realize that they have exhausted all their abilities to steer the country into an upgraded version of the today's world.
Not to sound biased or politically motivated but the truth is the current president would have been what we always needed to get the true change required but that would only be possible if he wasn't on the rein of CCM. Be as it may, CCM hold the final say in the course of the presidency.
What we truly need is the voice of the masses to be heard, the acceptance of those in leadership that their time is up and realization that true democracy is the acknowledgment and respect of other people's opinions even if they differ from your own.