Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 42,024
- 73,306
Astaghafilullahsafi sana haramu tupu
Astaghafilullahsafi sana haramu tupu
Mimi usijiue! Hahahahaaafigganigga title inashtua sana ungebadili asee, iwe imezuiwa isiyopimwa
Naomba nikuige,ngoja nikachukue kesho stock ya kutosha aisee isije pigwa marufuku na huku
Mm pia nimemshangaa sanaa huyo DC tangu ln ASF ni zoonotic? Afu anawabia madiwan watoe elimu bila kificho je wanazijua clinical sign na p.m findings za ugonjwa?Homa ya nguruwe haiambukizi binadamu wala haiui mtu kamwe. Madhara ya homa ya nguruwe ni ya kiuchumi full stop. Unaambukiza na kuua nguruwe kwa haraka na kwa wingi. Hayo ndio madhara ya homa ya nguruwe (African swine fever). Kwa hiyo ukila mnyama mwenye ugonjwa huwezi kuugua wala kufa. Lakini hata hivyo kuruhusu uuzaji wa nguruwe wenye homa unapaswa kudhibitiwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa. Acheni kusikiliza wanasiasa wanapoelezea masuala ya kitaalam badala ya kuwaachia wataalam waeleze
karibu sanaNaomba nikuige,
Umesema kweli Titicomb, maana nilivyoona hilo tusi kwa wifi yangu Christina nimejisikia vibaya kweli.Mkuu hivi ndivyo wanavyoumia ndugu wa wengi tunaowatupia matusi na kuwazushia kashifa za uongo. Mfano huyo kiongozi wasiompenda wanaoisoma namba. Na hivi ndivyo wanavyo umia wahanga wa Mange Kimambi. Vuta picha yule mama Rita M alivyotupiwa matusi na tuhuma za kweli na uongo watoto wake ndugu na jamaa wameumua kiasi gani? Jiulize Mama Jessy au Mke wa RC wa mjini wanavyoumizwa na matusi na kashifa za humu jukwaani. Usimtendee mtu usichopenda kutendewa. Ni rahisi tu kutukana mtu mtandaoni lakini athari yake kwa mlengwa ni kubwa mno beyond imagination.
Hata ndege pia wanaleta mafuaKumbe haya madude ni hatari hivi! Ama hakika kitabu kimeona mbali.
Huh JJ hh till mm VN vn km my y6 JM hggMKUU wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme, amepiga marufuku uingizaji na uchinjaji wa nguruwe, kufuatia mlipuko wa homa ya nguruwe.
Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na madiwani na watendaji wa Manispaa ya Dodoma.
Alisema hadi sasa zaidi ya nguruwe 200 tayari wameshakufa kutokana na mlipuko huo.
Aliwataka wakazi wa manispaa hiyo kutokula mizoga ya nguruwe ili kuepuka maambukizi ya homa ya nguruwe ambayo kwa asilimia 100 inaua.
Aliwataka kula nyama ya nguruwe iliyopimwa na wataalamu wa afya.
Alisisitiza madiwani kutoa elimu kwa usahihi kwa wananchi wao kuhusu madhara ya mlipuko huo.
Alitaja kata zilizokumbwa na mlipuko huo kuwa ni kata ya Ipagala na Miyuji ambayo zaidi ya nguruwe 200 wameshakufa.
Aliagiza kufanyika doria na kuwakamata watu wote watakaobainika kukaidi amri hiyo.
“Ninawaagiza nyinyi madiwani pamoja na watendaji hakikisheni mnatoa elimu iliyo sahihi kwa uwazi bila kificho, ukizingatia kuwa ugonjwa huu unaua tena kwa asilimia mia moja, hivyo ni marufuku kuingiza ndani ya wilaya hii na wala kuchinja pasiporuhusiwa na wataalamu wa afya,” alisema.
Alisema ingawa ufugaji wa nguruwe ni sehemu ya kujiingizia kipato, kipindi hiki cha mlipuko hakuna sababu ya kupuuza bali wanatakiwa kujiepusha ulaji holela wa nyama hiyo.
Aliwataka wafugaji kujiepusha na uchukuaji wa vyakula vinavyobaki hotelini na sokoni kwa kuwa vinasadikiwa kuwa na vimelea vinavyochangia uwepo kwa homa hiyo.
mmmmmmmmmmmmhhh! jamani nimeumia nilivyosoma hiyo comment yako, huyu dada Christina (DC) kaolewa na binamu yangu kabisa!!! yeye ni Mnyamwezi, jina la Mndeme ni la Mr wake.
hahaahah, kaolewa na binamu yangu ambaye alikuwa TANESCO hahahaaah, ni wifi yangu huyo Tina. hata upareni huwa anakuja sanaAisee!!! kweli dunia duara huyo ni Mama mkubwa wa best friend wangu tumbo moja, yaani mara kwa mara huwa nikirudi Tabora likizo huwa tunakutana hapo kwa mdogo wake tumbo moja tunakula na kunywa.
Tunasibiri Homa ipite, kuacha kula ni ngumu hilo haliwezekani