Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Dunia ni sehemu salama sana ya kuishi,
Wanadamu tumepewa upendeleo mkubwa kwenye hii Dunia kuliko kiumbe chochote.

Ila Tatizo ni kutopendana Sisi Kwa sisi ,
Dhuluma,
Utapeli,
Ugomvi,
Ujambazi,
Vita zooote ulimwenguni.

Ni matokeo ya kutopendana,mtu anayekupenda hawezi kukufanyia ubaya Kwa kujipendelea yeye na kujiona ni bora kuliko wengine hapa ndipo hutokea migongano na mifarakano.

cocastic come on
 
Oooh ahsante, nimekuelewa.
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.

Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
SiYO KWELI :DESKCHAN: usi generalize yaliyokusibu, hauna sampuli (sample size) ya kutosha ki takwimu kuhukumu wanawake wote, eti mama yako ndyo exception:p, wanaume ndyo wana rekodi mbaya sana ya ukatili dhidi ya wanawake.
 
Mama ahudumiwe na mume wake unless katangulia mbele za haki. Kama mzee hajiwezi sababu ya uzee, mpe mzee pesa yeye ndo amhudumie mkewe.

Hizi nyodo za vijana wa kiume kujifanya mama, mama, mama ujue uzee unakujia na wewe, mtazame mzee wako anavyofanana halafu jua kabisa na wewe utazeeka.
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.

Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Sijakuelewa kabisa na vijimistar vyako hivyo, inaonekana bado mtoto wewe, kwani umelazimishwa kuwa na wanawake? Umevamia dude limekuparua uso Sasa unataka kusema tusiwahurumie wanawake, je tuwahurumie wanaume wenzetu? Ngoja nikufundishe SoMo: mpende Mwanamke, mvishe, mlishe, mpe pa kulala, mkielewana masonga mbele ikiwa mambo hayaendi mwache aende kwa Amani kabisa, tafta chuma kingine, yake uliyohudumia na wewe alikuhudumia na inakuwa imeisha hiyo unasonga mbele.
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.

Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Na wanaume wajifunze kwa LUTU.

Wasikisome tu hiki kisa kama stori. Mwanamke akishaanza kukugeuka achana nae SONGA MBELE NA WATOTO WAKO.

LUTU hakuhangaika na mke alipogeuka, alisema umechagua njia yako mimi nasonga mbele.
 
Wanawake wafanye kazi . Ndio ukombozi wao
Na wakifanya kazi tukubali hatutawamiliki Wala hakuna demu wako Wala mke wako, jua limchape anatafta pesa halafu akutunzie kipochi eti ni chako tu haiwezekani labda awe anakuachia wewe ubaki nacho, wamepanga meza Kkoo jua Kali linawachapa, sura mpaka zimechujuka, biashara haziendi usafiri mwendokasi ni shida anakaa makabe huko, aende nayo arudi nayo mhhhh jiandae kulia, wanaume hudumieni wanawake, ngozi ziwe laini mikono laini Kila kitu laini huyo ndo Mwanamke wako vinginevyo mnasaidiwa majukumu yote ya nyumbani mpaka ya mwili wake acheni wanawake wabaki nyumbani muwafurahie na huo ndo uanaume.
 
Back
Top Bottom