Wanawake wanaona ni haki yao kuchezea jasho zetu with zero paybackWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Wee kumbee?! Em sema kweli?Diamond yeye anawachakaza tu tofauti na hapo angekuwa Kama Q Chillah
Hilo halina ubishi 💯 mwanamke kiumbe cha ajabu sana baadhi Yao hawana utu Wala shukurani omba yasikukuteWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Mama zetu na watoto wa kike wanabidi kuhurumiwa na sisi na sio na kila MTU kiasili mwanamke ameumbwa kuja kuharibu maisha ya mwanaume.Mkuu, umeongea kama vile wote tumetoka nyumba moja, mama yako na watoto wako wa kike si ndo hao wanawake kwa wanaume wengine?
Mkuu, kila mwanaume ana mama, na kila binti ana baba. Si ndio? Sasa kila mwanaume akihudumia ipasavyo binti yake na mama yake wanawake wote watakuwa wanahudumiwa na mwanaume bado.Mama zetu na watoto wa kike wanabidi kuhurumiwa na sisi na sio na kila MTU kiasili mwanamke ameumbwa kuja kuharibu maisha ya mwanaume.
Em apia!Majibu mnayo huo ni mwanzo tu.
Power of mbususu 🐒Kwa hali hii ni dhahiri mwanamke kashika kwenye mpini