Ukitaka kupata BP ya figo na maini penda sana wasichana wa kileo

Asa hapo unataks ushauri upi tena mkuu,acha kudelay,piga chini,anza maisha mapya,sio wako huyo,ukijifanya unampenda atakuumiza zaidi
 
Kama bado hujamuoa mfanye tu mchepuko!Hamna haja ya kuachana nae wewe ukiwa na hamu piga!
 


Ni sawa hata alivyokupiga chini na kutafuta mwanaume wa ukweli, kwani mwanaume wa ukweli huwa halii hovyo kama wewe bali hutatua matatizo, kulikuwa hakuna haja ya kuleta jambo la kijinga kama hilo hapa huyo demu alishakusoma akaona kwamba hapo hamna kitu!
Na hii avarta yako ni very interesting........
 
Habar zenu wanajf, leo nilikuwa nacht na rafiki yangu mmoja aliyeko nje ya nchi,katka maongz yetu akaniambia kuwa kapata mchumba Tz nikamwambia akanitajia jina nikalifananisha na la mpenzi wangu, ndipo nilipomwambia anitumie picha ili nimjue shemeji yangu rahaaulah kanitumia picha ya mpenz niliyekuwa nampenda sna na kuamin kuw niko pekee yangu, Ikabidi nimdadisi jinsi alivyopata namba yake yy akiwa nje ya nchi, akaniambia kuwa kuna group moja la wasap ndo alipopat namba yake na kuanza kumtemea sumu kali. Kijana mwenzenu hapa nahisi moyo kuchomoka kwa maumivu niliyonayo japo rafk yangu huyo sijamueleza chochot kuhusiana na mpenz wangu huyo. Ushaur tafadhari nifanyeje?
fanya kazi tafuta hela, pata hela utapata demu, mgongeee akikukinaisha mtose, chukua mwingine hivyo hivyo cycle inaendelea, usimpende yeyote yule zaidi ya watoto wako na nafsi yako...hutakaa ujue kitu kinaitwa sijui maumivu ya mapenzi
 
Ninachowakumbusha vijana kuwa wakae chini na kijitafakali....kwani hayo wanayolimbukia leo sio mageni hapa duniani ,watu walishayafanya na kuona hayana faida.....kwani dunia imeshachafuka.....maradhi ni mengi.....na starehe za muda mfupi zisikufanye uyaangamize maisha yako.....


Nimepapenda hapo mkuu
 
Hebu tuwekee namba yake hapa tudhibitishe kama kweli binti wa watu yuko ivo sio unamsingizia ???
 
Hivi bado kuna wanaume,mapenzi yanawatesa?!ctaki kuamini ili....itakuwa maajabu!!!!
 
hapa duniani;
1. Inatakiwa usimwamini mtu mwingine kwa 100%. Jiamini wewe mwenyewe na Mungu wako!
2. Wanawake ni viumbe dhaifu sana, wengi wao hawana misimamo dhahili ktk maisha yao
3. Hapa duniani tunaishi kwa imani, ikitokea ume-fail mahali, unajipa moyo; kaza buti hakuna kurudi nyuma. Likitokea limetokea fungua bichwa lako upate mambo mapya, usiwe mwepesi wa kulia lia maana utaweza lia mpaka siku utakapoingia kaburini
4. Kumbuka unapopata mwanamke mpya ujue huyo ndio dekio chakavu la mwenzio and viceversa, tunapokezana vijiti chamuhimu ni UZIMA TU!
5. Watu yametukuta makubwa kuhusu hivyo viumbe; na sasa tumekuwa ngangali na kauzu kama RAIS DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI
6. Wewe ni mwanaume, ktk maisha ya mahusiano unataka uishi maisha ya mteremko tu!?
7. Unatuaibisha wanaume, au na wewe huwa unakulaga mahindi ya kuchoma yakiwa yamepakwa pilipili na sukali? ha haaaa aaaaaah!!!
8. Pole sana!, angalia msije mkakorofishana na jamaa yako kisa mwanamke, mwanamke ni UA. mwambie mwananmke wako achague maisha, mpe uhuru usimbane. Mapenzi yapo tu hakuna aliyeshiba mapenzi; ni jambo la kujiseti mwenyewe!!!! Pole sana ndg yangu!
 
sasa ndio unalia...jikaze af humuambii rafiki yako unajiumiza tu mwambie mshkaji af songa mbele....au hujui kuwa never trust 100%
 
Pole sana umeshapata ukweli huna haja ya kuugua hayo magonjwa wakati mwenzako anakula raha achana naye songa mbele maumivu yatapona kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom