Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 27,340
- 65,830
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni. Utagundua yanafanana kwa kiasi kikubwa.
Na wale wenye ufaulu Mkubwa walikuwa wazee wa chabo, wazee wa Gakha, wazee wa kuingia na kibomu.
Kuna ambao walifeli shule kwa sababu ya ukosefu wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishiwa.
Yaani sio kila mtu ambaye hajasoma ni kilaza au battery Low kama nilivyosema kuwa wengine miundombinu ya shule ilikuwa haba.
Hata Chawa wa kwenye mambo y kidini. Wote wanafanana na ndugu zo Chawa wengine.
Kumekucha!