mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,864
- 5,265
Hhhh hapo mlimani city wadada wengi huwa wanatoka katikati ya jiji hahaha
Kila mwanamke akiingia hapo ni lazima avae kimini ndio atajiona amevaa
Yaani ukikaa hapo kama mwanaume ni lazima utachans chipi kwa kudindisha maana wanawake hatujisitiri tuwapo hapo m cty cijui kwa nn
Umarekani mwingiiii
Hili ndilo tatizo kubwa la watanzania....yaani watu wanakurupuka tu kufanya vitu bila kujuwa uhalisia wake. Mtu anaenda beach atavaa suti na tie na viatu vya mchumchumio au ngozi. Mtu anakwenda Mall, anavaa mini skirt au nguo kama anakwenda kwenye harusi wakati anakwenda Mall tu. Yaani wabongo bado ni washamba sana.