Ukifika Mlimani City utadhani Watanzania wako katika uchumi wa juu kabisa au wa kati

Pia ukifika mlimani unaweza kusema wabongo wrote wanaongea kiinglish, yani zile you know, off course, my boyfriend so and so, I miss you zinakuwa kibao basis mimi huwa mabaki midomo wazi nikitoa macho tu!
 
Unaweza dhani baadhi ya watu wanaigiza ila ndo maisha yao..kuna watu wanamake hela jmn acheni tu kuspend hapo sio shida kwao,.
Na mda mwingine watu tunaogopa tu bei,Kuna vitu ni bei nafuu hapo mall kuliko sehemu zingine
 
nini mlimani city...kuna kitu kipya town...kinaitwa mkuki house...

ila hizi mall bora ziwe nyingi wabongo tupunguze ushamba.natamani ziwepo ktk kila wilaya jijini dar.
4a099ab1ba846c277b39c64d92f2fec8.jpg
ipo wapi hii!
 
Nakumbuka 2011 maji ya uhai ya 500 walikuwa wanauza 1500

Sijui alimaanisha nn huyu mtoa post

Mlimani city naenda kununua maji ya Kilimanjaro. Sukari za pakti na Pombe kali tu. Tena naingia nachuku mpaka kiwango cha mwisho naweka kwenye gari nabadili tisheti narudi tena. Utapata kwa bei nafuu kuliko mtaani

Bidhaa nyingine tukutane Mkunguni,shekilango,Mwenge nk
 
nakumbuka wakati ndo nimekuja kuja huko dari salama kwenu ..tukaenda hapo bwana yani nilishangaa kila nao kutana nao ni wanabonga inglish tu nikawa na cheka tu.. tisa kumi ni yule bwana alienda kununu zile chokolate za mia 3 akawekewa kwenye bonge la rambo. ilibidi niige hiyo tabia kwa muda wote nilipokua naingi hapo
 
Back
Top Bottom