Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,464
Ni hivi , ukitenda maovu hapa duniani , kwa Mungu huna nafasi hata kama utazikwa kwenye jeneza la dhahabu .Hebu muache Mama Lucy Kibaki ili aweze kupumzika kwa amanai! Roho mbaya unaijua wewe?