UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

Baba ***** anahemka sana. Inabidi atulie . aliache Bunge liwe huru. Halafu Mamlaka ya Rais kuteua wabunge yawekewe kikomo kwa wateule hao kutokuwa Spika au Naibu Spika. Huyo mama Tulia hana cha kupoteza kwani siku zote atamtetea Rais. Na yeye ndio Jimbo lake. Yule mama Sio political leader, ni employee wa Ikulu.
Ndalichako
 
Kurejesha nidhamu kazini
Kudhibiti matumizi ya fedha
Kuokoa fedha zinazotafunwa na watumishi hewa
Kuleta nidhamu katika demokrasia
N.k
Kurejesha na kudumisha Vitendo vya Kijambazi & Mauaji katika utawala wake.
 
Back
Top Bottom