UKAWA kurudi bungeni

Posho ndo zinawarudisha....wale wabunge mababy inasemekana hali zao mbayaa sana hadi imemtisha mbowe na kuamua kulegeza kamba.
 
Si ukawa si ccm mi siwaelewi kiukweli,
Hivi mmeamua kugeuza vita za vyama
Mtu wa UKAWA hata afanye upuuzi gani wafuasi watasaport tuu na kuona kana kwamba yale ukawa wanayoyafanya ni jwa ajiri ya wafuasi wa ukawa na si kwa taifa zima.

Tukija kwa CCM hawana kipya kingine zaidi ya kupanda vita zidi ya upinzani, ikitokea mwana CCM akifanya upuuzi na ujinga hata yule aliye lala hukulupuka kama mwanafunzi aliyekulupushwa ba mwalimu bwenini.
Huo ni upuuzi mie mnanichanganya.

Vita iko bungeni mpaka kwa wanainchi sasa. Sasa hivi sielewi tutalifikisha wapi hili taifa

Humu jf nilizoea kupata maarifa na mijadala ya kunijenga lakini siku hizi mijadala mingi ni kati ya hivi vyama na sio kwa hoja ni matusi ya kushambuliana
Nice talk
 
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
 
UKAWA wanataka kutuambia kuwa yanayojadiliwa kwa sasa wakiwa nje ya bunge hayana maslahi ya kitaifa!

Kwa hiyo UKAWA wanataka tuamini kuwa mijadala kuhusu bajeti haina maslahi ya kitaifa!

UKAWA wanataka tuamini vipindi vya maswali na majibu bungeni havina maslahi ya taifa!

Kigezo/vigezo gani vinatumika katika kufahamu kama ni mjadala wa kitaifa au la?

Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.

naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee
 
Posho ndo zinawarudisha....wale wabunge mababy inasemekana hali zao mbayaa sana hadi imemtisha mbowe na kuamua kulegeza kamba.

MABABY si unajua wakikosa pesa wanaenda kwa wazee kuwaomba pesa.Wazee wamechoka kutoa pesa kila siku kuwapa mababy! wameona isiwe nongwa.Ni mkakati wa kujitoa kuendelea kugharimia SMALL HOUSES kwamba ingia upate posho zako mwenyewe mimi sasa sina hela.

Small house ikichachachamaa lazima mtu alegeze msimamo.Utanipa pesa hunipi? Si unajua sina kipato?Kama hunipi nakubwaga.Mtu mzima lazima alainike aseme ruksa nenda ukaendelee kupokea posho.
 
hoja ya mbunge silinde haina mashiko.hapo aeleze ukweli. mambo yote yanayojadiliwa bungeni yana maslahi kwa taifa....
 
naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee
Magazeti ya leo yanabainisha kuwa Katibu wa Kambi ya Upinzani, David Silinde amesema UKAWA wako tayari kurudi bungeni hata kama Naibu Spika atakuwa yupo kwenye kiti cha Spika.

Silinde amesema kitakachowarudisha bungeni ni kwenda kujadili masuala yanayohusu maslahi ya taifa na siyo vinginevyo. Mojawapo ya masuala hayo amesema ni lile la sakata la Lugumi.

13406955_1122900304441093_7193222630473890101_n.jpg

Ngoja wakione cha moto kwa vijembe toka kwa kibajaji~
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...

naomba wakirudi tusiwatukane au kuwabeza!!just
like mwanampotevu aliporudi kwa baba yake
alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza
siasa kwa hiyo tuwapokee
 
Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.
Sio kila mjadala una maslahi kwa taifa. Kujadili ujenzi wa sanamu ya msanii diamond au ujenzi wa mnara sehemu JPM alipopigia push-up yote haina maslahi ya taifa
 
naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee

Mwana mpotevu gani huyo ambaye kila siku anapotea! LOOOOOH
 
MABABY si unajua wakikosa pesa wanaenda kwa wazee kuwaomba pesa.Wazee wamechoka kutoa pesa kila siku kuwapa mababy! wameona isiwe nongwa.Ni mkakati wa kujitoa kuendelea kugharimia SMALL HOUSES kwamba ingia upate posho zako mwenyewe mimi sasa sina hela.

Small house ikichachachamaa lazima mtu alegeze msimamo.Utanipa pesa hunipi? Si unajua sina kipato?Kama hunipi nakubwaga.Mtu mzima lazima alainike aseme ruksa nenda ukaendelee kupokea posho.
haaaa haaaa wameona wenzao vitu maalumu toka ccm wanaendelea kuvuta posho tu huko mjengoni huku wakiufyata hata bila kuchangia.
 
Mbowe anapotosha wenzake kwa ubabe wake. Aibu gani hii. Tunarudije sasa? Kwa kasababu hako kadogo. Poor UKAWA.
 
Back
Top Bottom