Ujumbe ulitimia kuhusu kufanyika au kuyeyuka Kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
20,209
31,846
Salaam, Shalom!!

Palikuwa na ujumbe usemao:

"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).

Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?

Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa HAKI ambao ni Haki yetu kikatiba?

Karibuni 🙏
 
Kiukweli wapenda HAKI, Bado tunasubiri kuchagua viongozi wetu kihalali katika misingi ya Kweli na HAKI.
 
Udikteta ulipoanzishwa na jiwe, watu walistuka sana na kung'aka. Huyu bibi raia wa Zanzibar anapoendeleza udikteta wa kupora haki ya kuchagua na kuchaguliwa, watu ni kama washaingia usugu na kuizoea hali hiyo. Hawastuki na kung'aka kama.mwanzo.
 
Udikteta ulipoanzishwa na jiwe, watu walistuka sana na kung'aka. Huyu bibi raia wa Zanzibar anapoendeleza udikteta wa kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa, watu ni kama washaingia usugu na kuizoea hali hiyo. Hawastuki na kung'aka kama.mwanzo.
Upumbavu wa watanzania wanadhani labda hilo linawahusu wapinzani, hawaoni hatari inayokuja mbeleni
 
Udikteta ulipoanzishwa na jiwe, watu walistuka sana na kung'aka. Huyu bibi raia wa Zanzibar anapoendeleza udikteta wa kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa, watu ni kama washaingia usugu na kuizoea hali hiyo. Hawastuki na kung'aka kama.mwanzo.
Kupiga kura na kura kuheshimiwa ndani ya Sanduku la kura ni Haki yetu kikatiba.

Kuruhusu kuchezewa Sanduku la kura,

IPO gharama viongozi waliopo watalipa.

Tusubiri kuhesabiwa.
 
Salaam, Shalom!!

Palikuwa na ujumbe usemao:

"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).

Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?

Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa HAKI ambao ni Haki yetu kikatiba?

Karibuni 🙏
Kikatiba ??!
Au una maana Kikatiba mpya ??! 😂😅
 
Back
Top Bottom