Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Au wewe uliingia kwenye ndoa kabla ya kumjua mwanamke?
Mkuu ni vema ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha hapa.
Mtoa maada yupo sahihi kiroho, kimwili na kiakili katika mada hii.

Mwanaume yeyote nwenye akili timamu hawezi kuishi kwa misingi ya usawa na mwanamke, mtu au kitu chochote kwenye himaya yake.
 
Mkuu, embu tuukubali uhalisia na tuache UNAFIKI, Huyu unayemwambia hana akili ni mmoja kati ya wengi wenye mtazamo uliopo katika uhalisia. Watu wanataka uzoefu wa mahaba na ngono na wowowo kubwa kwa gharama. Mabinti hawaendi China na Uturuki bure, ipo sababu. Kila sehemu madanguro yanabadilishwa tu majina mara masaji, mara party yooote haya ni wanaume wanatafuta wanawake wenye uzoefu wa ngono.

Hapa TZ dar es salaam kuna mtu kaacha bikra ya mkewe kwenye nyumba ya kupanga kamjengea single mother nyumba na kurudi kwa mkewe mpaka Single mother amfukuze.

Huyu kaona asiwe mnafiki.

Mkuu uwenda ikawa ni kweli unalosema
Lkn
Binafsi siamini kama kuna mwanaume anataka mwanamke mwenye uzoefu .
Lkn
Naamini wanawake ndio wanataka wanaume wenye uzoefu

Sababu kuu ni hii.

Kwenye mahusiano historia ya mwanaume haina maana
Haijalishi mwanaume ametembea na wanawake wangapi
Wanawake wanachzingatia ni future na present moment unawafanya wajisikiaje.
Hii ni kutokana na feminine essence.

Zingatia
Mtoa mada anayoyajadili ni kilingana na nature , thus why jamaa yupo undisputed hapa na ukijiona unabishana na mtoa mada nivema ukajitafakari.
 
Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
  • Mwanamke mcheza porno
  • Mwanamke mcheza onlyfans
  • Malaya anayejiuza
  • Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa

Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili wote sio bikira

Tofauti ni kuwa wacheza porno na onlyfans wao wameamua kutoa video kabisa

Imagine wanawake wasio bikra (wadangaji) na malaya wanaojiuza wangekuwa wanatoa video zao za home made.

Unafikiri kungekuwa na tofauti yoyote?

Maana pigo za kwenye porno ndizo wanazofanyiwa na madanga au wateja wao.

Kumuoa mwanamke asiye bikra ni sawa na kumuoa pornostar au mcheza onlyfans.

Ni vile tu mkeo uliyemkuta sio bikira hana video zilizovuja (leaked videos) zikionyesha anapigwa miti na kuchezewa na maex na madanga yake usingethubutu kumfanya wife.

The more reason men should settle for virgin women

Learn or perish
Rais wa China una hasira sana punguza Jazba kidogo 😂
 
Someone's future wife 😭😭😭


View attachment 3131418

Kwa kila mwanaume anayeoa asiye bikira, hivi ndivyo mkeo alivyogongwa na wanaume tofauti kabla hujaingia kuendelea nao.

Kwa bahati mbaya, nyundo ndogo utakayokuja nayo haitaweza kurekebisha uharibifu mkubwa ambao nyundo kubwa zimefanya.

Hii ndio sababu atakucheat kila wakati kwa sababu nyundo moja haitamtosha kamwe.

Learn or perish
Kumbe jina Nyundo mtumishi wa Afande lina historia ndefu
 
Hahah ila wanaume tunaamuaga tu kujiumiza akili zetu, tunavyoongelea wanawake wanavyopigwa miti na wanaume wengi kabla ya ndoa utafikiri sisi hatuchezi na papuchi nyingi kabla ya ndoa
 
Mkuu uwenda ikawa ni kweli unalosema
Lkn
Binafsi siamini kama kuna mwanaume anataka mwanamke mwenye uzoefu .
Lkn
Naamini wanawake ndio wanataka wanaume wenye uzoefu

Sababu kuu ni hii.

Kwenye mahusiano historia ya mwanaume haina maana
Haijalishi mwanaume ametembea na wanawake wangapi
Wanawake wanachzingatia ni future na present moment unawafanya wajisikiaje.
Hii ni kutokana na feminine essence.

Zingatia
Mtoa mada anayoyajadili ni kilingana na nature , thus why jamaa yupo undisputed hapa na ukijiona unabishana na mtoa mada nivema ukajitafakari.
Hahaha, Hakuna kitu mkuu, Watu wanataka bam bam, tuku tuku.
 
Wahubiri maadili (Bikra) Xi Jinping na Mzee wa kupambania Wanajadili porn na porn stars kama consultant wa haya mambo! Expert level.

Moral authority yenu iko questionable sana 😂 Juzi nimemuuliza huyu Rais wa china kuwa ni kweli unahamasisha maadili au umeamua kuwa frustrate wanaume waliooa na waoaji watarajiwa? Unakuwa frustrated kuona ndoa bado zinafungwa? Sababu tusikatae kuwa kuna kundi besides wao kuwa wakataa ndoa wana ajenda nyingine tofauti kabisa (Hili hakupata kunijibu Xi Jinping Japo ni kweli kuwa huwezi kukiri ajenda yako. (kama kweli unayo)

Ndimi malaya mwenzenu nimeona nijitaje kabla hamjaanza kunibandika majina.
 
Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
  • Mwanamke mcheza porno
  • Mwanamke mcheza onlyfans
  • Malaya anayejiuza
  • Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa

Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili wote sio bikira

Tofauti ni kuwa wacheza porno na onlyfans wao wameamua kutoa video kabisa

Imagine wanawake wasio bikra (wadangaji) na malaya wanaojiuza wangekuwa wanatoa video zao za home made.

Unafikiri kungekuwa na tofauti yoyote?

Maana pigo za kwenye porno ndizo wanazofanyiwa na madanga au wateja wao.

Kumuoa mwanamke asiye bikra ni sawa na kumuoa pornostar au mcheza onlyfans.

Ni vile tu mkeo uliyemkuta sio bikira hana video zilizovuja (leaked videos) zikionyesha anapigwa miti na kuchezewa na maex na madanga yake usingethubutu kumfanya wife.

The more reason men should settle for virgin women

Learn or perish
Akili zako zikikuongoza ivyo sisi hatuwezi kukubadili ila kwa taarifa yako bikra uliyemuoa akikuzoea ji mbaya kuliko ao unaowaita malaya. Ni hatari kuandika bila kufikiri.
 
Mke wa Johnny Sins ni mcheza porno mwenzake anaitwa Kissa Sins, ila Kissa huwa anamkubali sana Manuel Ferrara yaani huwa anamfeel sana hata kwenye porno zao

Ndio ujue mwanamke akishapigwa pipe na wanaume wengi lazima kuna mmoja au zaidi ya mmoja ambao kwake watakuwa favorite akiwa naye sita kwa sita

Manuel Ferrara yeye mke wake ni pornostar pia, anaitwa Kayden Kross ila kaamua mke wake awe anacheza video za lesbian tu

Nadhani umeelewa ninachomaanisha
Kuangalia ponopono had unakariri majina ya wahusika na maisha yao kiujumla mbona nawewe unakua ksma mcheza pono man, interest yako kwenye haya mambo n ipi hebu semakidogo mkuu huenda nkajua nusiyo jua waswahili wanasema kujua mbinu za kuiba hskukufany uwe mwz
 
Back
Top Bottom