Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,285
- 1,840
Uzoefu wa nini? Na kwaajili ya nani? Kila mtu ana kile anachokipenda/penda kufanyiwa. Jonny, Kevin, Juma, Felix kila mtu anakitu tofauti ambacho hakifanani na mwingine. Halafu unakuja kuolewa na bwana Alex anayependa kitu tofauti. Experience unakusanya kwa x,y,z inakusaidia nini sasa kwenye ndoa yako?Kuna kitu hamkizungumzii kabisa.
Uzoefu.
Hakuna kazi utakayo enda Fanya wasikuulize hicho kipengele.
Kumbuka, kwa mwanamke ndoa ni ajira
Hawa Wanawake Raha utapiga miti na watakamua kila kitu, tofauti na hao wenye shombo la maziwa.
Learn and Relearn
Same applies kwa 'me. You are gathering experiences ambazo hauzihitaji kujenga ndoa yako. Nendeni mkajuane vizuri wawili. Binti bikra anastahili kijana bikra. Na kijana anayemjua mwanamke anastahili binti anayemjua mwanamme, fullstop.
Ati unakuta kijana anadai bikra kwa mwanamke ilihali milage inasoma mpaka sodoma na gomora ndio mambo anapenda. Na yeye anataka akioa eti aoe bikra. Eh, dunia simama nishuke mimi