Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Hii mbegu ya chuki za kikabila mliyopandikiziwa italeta balaa siku moja mkuu trust me. Mnaona mchaga ndio mmbaya wenu ila ipo siku mtaongezewa idadi ya wabaya wenu na hivyo chuki kuendelea kukua. Haijengi hata kidogo. Mnawaumiza wengi (wachagga wasioujua huo upendeleo) bila sababu. Watachukia, watalaani, watafundisha chuki na wisho wa siku jamii inakuwa na chuki za kipuuzi. Kama kuna watu wametenda uovu, waseme hao wa nafsi zao na wala sio makabila yao. We are better than this shit
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Maneno Bora ya mwaka 2016...Hongera kwa kusema ukweli na uwazi. Na hao jamaa ndio wamejaa humu. Nje na humu ni shwari tu ukitoa mambo ya uchumi ambayo yatatengemaa jinsi tunavyokwenda..
 
NANI AIJUAYE KESHO ?

Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.

Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.

Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.

Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.

Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.

Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.

Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.

Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.

Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.

Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.

Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.

Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.

Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.

DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.

Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*

TUKUMBUKE KWAMBA.

MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.

@ Justin Mwanshinga
Acha kumfundisha Rais uoga wewe,
 
Diego Simeone alikua Argentina National team na alistaafu mwaka 2002, Torres ni Spaniard na hajawahi kuwa Captain wa NT, by the time Captain alikua Raul Gonzalezi wa RMD.. Get ur facts straight..
 
Maneno bora kabisa ya kuufunga mwaka. Yamewaingia japo wanajishaua humu kama hawajaambiwa wao.
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Kila unachopaswa kukifanya duniani kwa wakati ule uliopewa na Bwana basi Fanya kwa kiasi.
 
Wachagga hoyee. Tupige kazi tuwaache wakipayuka kwenye majukwaa wakimaliza watatukuta tunawatazama kutoka juu.
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
nani alikwambia magufuli sio mwizi wa rasilimali za taifa??
 
Hajaiba ndo mana yuko serious na kudeal na vibaka mliotufisha hapa tulipo. Magufuli songa mbele sisi tunakuelewa Ila wapigaji hawawezi kukuelewa never. Kila kona ulikuwa ni deal tu. Utashangaa mhsibu akiajiliwa mwaka mmoja ana BMW na nyumba. Wizi ulikuwa umetamalaki. Siyo wewe tu uliyechanganyikiwa hata wabunge mwezi na wa madeal kama akina zitto na mnyika wa me cha gani kuwa pia
R u sure hajaiba au mahaba tu?
 
NANI AIJUAE KESHO ?

Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.

Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.

Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.

Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.

Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.

Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.

Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.

Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.

Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.

Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.

Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.

Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.

Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.

DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.

Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*

TUKUMBUKE KWAMBA.

MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.

@ Justin Mwanshinga
 
NANI AIJUAE KESHO ?

Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.

Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.

Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.

Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.

Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.

Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.

Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.

Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.

Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.

Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.

Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.

Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.

Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.

DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.

Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*

TUKUMBUKE KWAMBA.

MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.

@ Justin Mwanshinga

Nimekusoma mkuu.
 
Back
Top Bottom