Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,043
- 38,946
Kuomba jirani yako tajiri afilisike hakukufanyi kuwa tajiri ghafla wala yeye kushuka na kuwa fukara kama wewe hakukupandishi hadhi hata kidogo.Sawa mkubwa,basi niache kumsifu nisije kuwa senior au principal wake, haya in mawazo yake ametoa,ujue kuwa haiwezekani watu wote mawazo yakafanana kama wewe unavyotaka mawazo ya wengine yafanane na yako.
BACK TO THE POINT:Ila sasa hivi kuna heshima mtaani,matumizi ya ovyo hamna,watu wanatumia zao za halali,inaonyesha zamani kulikuwa na michongo haramu.Na hao sisi wachache mirija yetu imezibwa ndio tunaopiga kelele kweli kweli,lakini wengi ambao hawakuwa na mirija kimyaaaaa,wanaombea buti kukazwa ili nao wapate heshima mtaani,ndio maana watu sasa hivi wanaouza assets kwa being ndogo na wanunuzi hawapo.
GUJALATI njoo huku uongeze chorus kuna BILA BILÀ anakusubiri.