Ujasiriamali; Utengenezaji wa stain remover

Tafadhali kiongozi tuambie, mahala original pa kupata hizo acids. Huku kwetu Namtumbo hakuna maduka ya wajasilia mali.
Agiza dar es salaam,kuna maduka ya ujasiriamali hasa kariakoo.
 
Malighafi ni hizo hapo juu ,kwenye maduka ya ujasiriamali vinapatikana.
 
Back
Top Bottom