JJ's kwa maana wewe huna hata pichu moja?mimi sivaagi kabisa bhana. nimekuelewa ulikuwa unaelezea nini.
mimi hewa muhimu bhana ndo mpango mzima
Miaka kumi ijayo mtakuwa mnavaa kamba tu!Hamchoki kutunyambua nyambua?
Hiyo thong c kamba tuMiaka kumi ijayo mtakuwa mnavaa kamba tu!
Zamani chupi ndio zilikuwa zinafunika makalio,siku hizi makalio ndio yanaficha kamba za vyupi!Nenda beach utaelewa haya!Hiyo thong c kamba tu
TunasubiriMiaka kumi ijayo mtakuwa mnavaa kamba tu!
Wanawake wa mwendokasiTunasubiri
santeeeeHongera zako
yaan mbona unanisumbua na mimi nishatoa majibu? pichu ni za zile siku hatarishi tuuuu.
![]()
Teh teh..Kumbe na ww ni member wa without..Safi sanamimi sivaagi kabisa bhana. nimekuelewa ulikuwa unaelezea nini.
mimi hewa muhimu bhana ndo mpango mzima
yes and i am happy that way.Teh teh..Kumbe na ww ni member wa without..Safi sana