Tofauti yake ni ipi mkuuLabda hawajajua tofauti ya bikini na g-string.
Makahaba ndio hawavai kabisa pichuvazi la bikini na tabia ya mtu viko mbali sana au kwa makahaba
Na hizi tabia za kuchimbua vitu mpaka vya ndani namna hii mmeanza lini?
tumeanza pale tu mlipoamua vya ndani kutuwekea adharani!
hahaha tunaitaga "e-ngishida" ki local zaidiUnajua tunatofautiana malezi mwenzako mimi nimezoea kuona mwanamke akivaa chupi,underskirt, shumizi,kishida mpaka ufanikiwe kuona japo mstari wa tako umefanya la ziada na mwanamke huona aibu ,ila hawa wa bikini wakiinama tu ni shida shanga zilee na macho kodo ,wewe unafikiria mimi nitamchukuliaje kama sio shankupe
Hii haiwahusu wale dady can i borrow your car ?
Usishtuke baby,mimi najua wewe huvaagi.Hamchoki kutunyambua nyambua?
Mbona ww umejitoa?Jaman mbona hawa viumbe wanachambuliwa sana??? mimi nahis watu huvaa bikin kutokana na vazi analovaa, kwa mfano ka anataka kutoka na suruali akivaa bikin sio mbaya. Na hizi tabia za kuchimbua vitu mpaka vya ndani namna hii mmeanza lini?
Haina uhusiano wowote na tabia ya mtu ila kupenda tu kwa mtu mwenyewe.
At least umewafundisha kabisa,maana watu wengi hawajui nini maana ya bikini,hawajui THONG na G STRING ni kitu kimoja,bikini ni vazi la kuogelea tu tena polyester.Hivi ni nini maana halisi ya BIKINI??? Naona kila mara hili neno linatumika sivyo sielewi ni kwa nini watu wanachanganya kati ya "Bikini" na "G-string". Navyofahamu mimi bikini ni nguo ya kuogelea ya mwanamke (swim suit) inayovaliwa beach. ambayo ni chupi+bra=bikini. Na hiyo chupi is not necessarily iwe na kikamba kama g- string. Inaweza kuwa ya kawaida lakini ili mradi iwe ya mpira not cotton.
Kwa mjadala unavyoendelea naona hapa kinachozungumziwa ni G-string not bikini.
Nawasilisha
Kitu kinapata hewaUsishtuke baby,mimi najua wewe huvaagi.
mbona mm sio kahaba na sivaiiii.Makahaba ndio hawavai kabisa pichu
mimi sivaagi kabisa bhana. nimekuelewa ulikuwa unaelezea nini.Mbona ww umejitoa?
inaonekana huko mtaani kwenu hakuna wanaume aisei yaana wanakubali hewa iingie badala wao ndo waingie imeniuma sana*mimi sivaagi kabisa bhana. nimekuelewa ulikuwa unaelezea nini.
mimi hewa muhimu bhana ndo mpango mzima
hahahahhaha wapo wengi tena rijali.inaonekana huko mtaani kwenu hakuna wanaume aisei yaana wanakubali hewa iingie badala wao ndo waingie imeniuma sana*
Sio kitu,ni vitu bhana,maana vipo viwili.Kitu kinapata hewa
Hongera zakombona mm sio kahaba na sivaiiii.
msipende kucremisha vitu jaman.