mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Alie Mwanza na Ana Kuchi original basi tuwasiliane ila Shart bei ziwe za Wafugaji kwa Wafugaji
Naomba tuwasiliane mimi nahitaji kufuga kuku ila naanza kimaskini maana mtaji wangu hauwezi kuzidi laki5 njoo inbox tuseme zaidi.Mkuu Hilo linategemea na Maandaliz ulonayo Kwa Mfano Eneo la kutosha Mabanda Nk
Ima kama huna Basi wastan wa M 5 na kuendelea unafaa kama aunahitaji Mavuno ya Haraka
Ima kama Unahitaji iwe ni Ya Kimaskini kama Sisi Unaweza anza Na Mtaji wa tsh Laki 5 na kuendelea na Ukaanza na Kuku hata Wawili
Ukaja Mwendo wa kinyonga na Baada ya Myezi Kadhaa ukawa na mwendo wa Swala Kisha Farasi mwisho Duma
Karibu Mkuu Tufuge
asante sana mkuuMkuu Hilo linategemea na Maandaliz ulonayo Kwa Mfano Eneo la kutosha Mabanda Nk
Ima kama huna Basi wastan wa M 5 na kuendelea unafaa kama aunahitaji Mavuno ya Haraka
Ima kama Unahitaji iwe ni Ya Kimaskini kama Sisi Unaweza anza Na Mtaji wa tsh Laki 5 na kuendelea na Ukaanza na Kuku hata Wawili
Ukaja Mwendo wa kinyonga na Baada ya Myezi Kadhaa ukawa na mwendo wa Swala Kisha Farasi mwisho Duma
Karibu Mkuu Tufuge
Niko Bukoba Mjini wewe je?Unapatikana wapi?
Nipo Kigoma, Bukoba sehem gani?Niko Bukoba Mjini wewe je?
kunankitu nimekoseaUmenufaikaje sasa. Nimekuja mbio kujakujua nakutana na picha yako tu.
Kuna watu huwa hawawezi kujielezea tu.
Ungesema. Tu.
NAFUGA KUKU
Polekunankitu nimekosea
nicheki whatsap no +255625826352Mkuu asante kwa somo japo ufafanuzi wako haujakuwa wazi sana hasa sehemu za changamoto
Mkuu mi situmii what SAPnicheki whatsap no +255625826352