MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Siwapendi mafisadi lakini nawachukia zaidi wanaowaona mafisadi wakiendelea na mambo yao BILA KUSEMA CHOCHOTE labda pengine wanakuwa wakipewa "kidogodogo" ili wasibwatuke na kuanza kubwabwaja wanayoyaona?
Ningekuwa nawajua mafisadi... well, wapo, na kila wanapofanya wanayoyafanya huwa ninabwata... bora nibwate kuliko kukaa kimya, nafsi yangu ikinisuta kwa kuuendekeza ufisadi!
Ningekuwa nawajua mafisadi... well, wapo, na kila wanapofanya wanayoyafanya huwa ninabwata... bora nibwate kuliko kukaa kimya, nafsi yangu ikinisuta kwa kuuendekeza ufisadi!