Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 218
- 200
Ehhhh bana unaingia kazini mauza uza ya humo kazini kwanza unakuta kuna mfanyakazi mwingine wanaoshirikiana na huyo aliokuajiri kukudhurumu haki zako utaambiwa wiki ya kwanza kujifunza sijui kazi ngumu sawa utapiga kazi na ni ya kuuza gas za majumbani utapiga kazi wiki ikiisha
sasa mauzauza yanaanza mara wanajifanya mitungi hawaioni mara imepelea litakuja gari na mitungi kidesign design tu mara pikipiki watavuruga vuruga hesabu watafanya kila janja afu unaanza onekana kazi imekushinda lengo wakufukuze au uondoke mwenyew bila kulipwa watafanya hivo na kwa wafanyakazi wengine ko
Kitu wanachofanya ni kutafuta watu na kuwatumia ila bila kuwalipa chochote afu wao kwenye reports zao sasa wanaandika wafanyakazi wamelipwa wanaongeza expenses😄 kukwepa kodi nk,,,
Nawasihi ndugu zangu waomba kazi usikanyage suka sehemu 1 inaitwa Sam movies store kitakuramba pale pia kua mwangalifu na hawa waajiri wa JF 😄