Gene da beauty
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 446
- 830
- Thread starter
- #41
Asante ntamwambia aendelee kuinjoi kiroho safi!!hakuna madhara tena ni nzuri sana mtoto atazaliwa na afya nzuri
Asante ntamwambia aendelee kuinjoi kiroho safi!!hakuna madhara tena ni nzuri sana mtoto atazaliwa na afya nzuri
sema na mm niliwaza kitu kama hicho sema ckuwa na uhakika!!!Acha hizo bla bla zako ndugu mtoto alipo hakuna kitu chochote kinachoweza kufika alipo.
Haina madhara yeyote kiafya. Bali ni nzuri Sana hasa kwa mama.
nimeongeza chumvi mkuu eti Zigo!!Duh.....kumbe mnaita "zigo"!
Haina madhara.....aendelee kumuzisha tu.
na hvi nackia joto linakuwa maradufu jpo can uhakika,!!Mzuka umepanda wengine hatuguswi, tukiguswa tu unaamsha Dude
CIO mm mkuu namwonyesha michango yenu anakenua mwnywe coz hzi cku za karbun hakuwa sawa anafikiria akiambiwa inamadhara inabid aende akajifungurie home!!Ni wewe acha kusingizia Mdogo wako! Haina madhara kwa hilo utajifungua vizuri. Infact daktari wakati akipima njia akiona ni ndogo huwa anawalazimisha msex ili kupanua njia. Huyo atakuwa mtoto wa kike
Asnte mkuu ila hpo missionary nn cjakusoma kwa kweli ndo inakuwaje hyo nimwambie acjiachie hvyo akaharibu!!/Mimba ikishatunga shingo ya kizazi/mlango wa kizazi (cervix), huwa inafungwa kiasi cha kuto ruhusu kilicho ndani kwenda nje au kilicho nje kurudi ndani, bila kufanya hivyo basi yale maji yaliyopo katika mfuko wa kizazi (amniotic fluid) yange leak kwenda nje na kuhatarisha uhai wa mimba. Si kweli kwamba sex wakati wa mimba ni mbaya, sex yaweza fanyika tu hadi miezi 9 ila tu cha kuzingatia kwa wale wenye uume mrefu kuwa makini kuto kuugusa ule mlango wa kizazi kwa force (mimba yaweza kuwa hatarini), pia sex wakati wa ujauzito hufanya mama ajiskie vizuri (kuondoa stress, ila kama atapenda kufanya ivo, usilazimishe kama hapendi), pia ni vizuri kuzingatia style ambazo ni salama kwa kipindi hicho (missionary position hapa haitumiki tena kwenye mimba zaidi ya miezi 5), pia si kweli eti manii huwa yanaenda mfunika mtoto kichwani, manii sehemu huwa absorbed na vagina wall, na mengine hutoka tu kwa uke. Mtoto atendelea kuwa salama kama mtafuata ushauri wa wataalamu, kama ukowa na swali, duku duku ni bora kwenda kwa wataalamu kuliko ukamuuliza mtu ambae atakupa taarifa zenye upungufu.
Hao manesi hawana haki ya kufanya hivyo.Subir manesi wakimfumua makofiii atajuaaa halaf mtoto akigeuza kichwaaa akizaliwa kichwa chote kitakua na sperm kwahyo ni vitasa tu
imebid tucheke hyu jamaa lol!!HAHAHAHAHAAAAAA kaka umevunja mbavu zangu aisee
hili CIO tatizo kbsa hta wakisema nimlambe na lamba kikubwa niinjoi wakati huu nauhitaj!!Hakuna madhara yoyote dada angu we endelea tu kula mema ya nchi,
Ila mtoto kufunikwa na shahawa ni 100% na manesi huwa wanachukia sana wanakuambia umfute mwenyewe.
Asante mkuu naona kanisaidia na jina LA kastyle kamoja!!THE BEST ANSWER EVER.
majibu yote yako hapa, Kikubwa ni positioning/style wakati wa sex. Kuna style inabid ziachwe maana zinaweza kumletea mama madhara kama alivyoelezea huyu.
Shukrani!!Hakuna madhara yoyote, aendeleee tu kufurahia dudu mpaka siku ya kwenda kujifungua
Naona mpaka sasa kashapata majibu ya maswali yke yaani umanifafanulia kitaalamu asante sana mkuu!!SEX KWA MJAMZITO
Tendo lA ndoa /ngono ni sehemu ya afya kwa mahusiano baina ya wapendanao, lakini je, NI SAWA KUFANYA TENDO LA NDOA /NGONO wakati wa ujauzito ???
Kwa wanawake wengi ni sawa, tendo lA ndoa /ngono ni Salama wakati wa ujauzito lakini kama mwanamke Atakuwa na wasiwasi wowote kuhusiana Na tendo lA ndoa /wakati WA ujauzito atalazikika kumuona Daktari kwa maelezo zaidi...
BAADHI YA MAMBO YA KUZINGATIA KUHUSIANA NA TENDO LA NDOA /NGONO WAKATI WA UJAUZITO...
1}Kama mimba iko Salama, inaendelea vizuri basi munaweza kukutana kimwili wakati WA ujauzito... Kikubwa ni kuwa makini juu ya STYLES NA POSITIONS ambazo hazita leta madhara yoyote kwa Mama mjamzito.
2} Tendo lA ndoa /ngono halimdhuru Mtoto, chupa iliyo Na maji katika mfuko Wa uzazi (uterus) inasaidia kumlinda Mtoto wakati WA Tendo.
3}Kama Mama mtarajiwa alikuwa na matatizo yoyote kwenye ujauzito uliopita, au ana matatizo yoyote kwenye ujauzito alionao wakati huu..
4} Kama baada ya Tendo, Mâmä Atakuwa anatokwa Na damu nyingi, maumivu makali au majimaji yanayotoka ukeni... Atatakiwa Awahi hospital au Kituo cha afya kwa uangalizi WA haraka Na usalama wa kiumbe aliyeko tumboni..
NI WAKATI GANI TENDO LA NDOA /NGONO SIO SALAMA KWA MÂMÄ MJAMZITO ?
Wakati mwengine tendo lA Ndoa linaweza lisiwe Salama kwa Mama Mjamzito ikiwa Mama huyo Atakuwa na matatizo katika ujauzito wake wa sasa au alikuwa na matatizo katika ujauzito wake uliopita.. Kama Atakuwa Na moja ya mambo yafuatayo atalazimika amuone mtaalamu WA afya Kabla ya kukutana kimwili Na mwenza wake kwa ushauri wa kitaalamu...
1} Akiwa ana mimba ya mapacha Na zaidi (2,3, .......)
2}Kama Atakuwa na tatizo la CERVICAL INCOMPETENT, Hili ni tatizo ambalo hutokea pale ambapo mlango wa mfuko Wa uzazi ( cervix) unapo funguka mapema sana wakati WA ujauzito ambapo inaweza ikasababisha Mama kujifungua kabla ya muda kutimia...
NI JINSI GANI MJAMZITO ANAWEZA AKAFANYA TENDO LA NDOA /NGONO AMBALO LITAKUWA NI SALAMA KWA AFYA YAKE NA AFYA YA KIUMBE ALIYEKO TUMBONI ???
1}Ajilinde kutokana na Magonjwa ya zinaa. Mama mjamzito anaweza akapata magonjwa ya zinaa pale atakapo kutana Na mwenza wake ambaye tayari ana magonjwa hayo...
Magonjwa hayo yanaweza yakasababisha madhara makubwa kwa afya Yake na afya ya kiumbe aliyeko tumboni Hivyo basi, Kama Atakuwa anafahamu mwenza wake ana magonjwa hayo, hawashauriwi wakutane kimwili
Na ndio maana, sikuhizi Mama anashauriwa wakati anaanza kliniki ya uzazi aende na mwenza wake ili waweze kupimwa wote wawili, huwa Wakapimwa vipimo vya HIV/AIDS NA SYPHILIS..
NI ZIPI DALILI ZA HATARI KWA MJAMZITO WAKATI WA TENDO NA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA /NGONO NA MWENZA WAKE ???
1}Kama baada ya tendo atahisi maumivu makali sana, Atatakiwa aonane na mtaalamu kwa uangalizi zaidi ..
2}Kama Atakuwa anatokwa damu nyingi ukeni...
3}Kama kutakuwa Na majimaji yanatoka ukeni mwake ..
NAWASILISHA...
Nzory Mussa
imebid nicheke mkuu kumbe hta manesi wkt mwngine hawafahamu unaogeshwa matusi bila hta kosa dah!!Mtoto hawezi kuzaliwa Na shahawa, kwanza baada ya mimba kutunga hakuna kitu kinaweza ingia ndani wala kutoka nje labda Mama mjamzito awe na matatizo mengine...
Zile ambazo tunaziona kwa baadhi ya watoto baada ya kuzaliwa ni mafuta mafuta tu, kitaalamu yanaitwa VERNIX CASEOSA
Ni mazuri sana kwa ngozi ya Mtoto ijapokuwa wapo wauguzi Wengine huyafuta punde tu baada ya Mtoto kuzaliwa lakini huwa tunashauriwa kuyaacha...
Ndani yake kuna vitu vingi Sana muhimu kwa afya ya ngozi ya Mtoto, Kama vile...
1} wax and sterol esters
2}ceramides
3}squalene
4}cholesterol
4}phospholipids
Hivyo ni baadhi tu...
MY TAKE
Zile Sio shahawa bali ni VERNIX CASEOSA
nimeambiwa ajitahid missionary style cjui ndo style gani hyo jmn!baba ajitahid asitoke njee ya ndoa akapata magonjwa mengine thn atampa na mkewake km hachepuki hakuna shida sperm zikiingia kwenye viganal zitapenya kidogo kwenye uterus kwakuwa mjamzto cevix inakuwa ime dilate 2cm na zitamfikia mtoto hapo ina tegemea na position ya mtoto zinaweza kurud au zkabak kwa mtoto na hazina madhara but asiwe mchepukaji baba maana mtoto kuzaliwa ana infection ni simple sana ,,faida ya kufanya sex itamsaidia mama viganal yake kuwa loose ili mtoto aje apite vizur kuepusha kuongezwa njia yaan episiotomy na hapo mtoto akiwa mkubwa 3.5to 4.5kg kingine ni nyonga kuwa active maana sex nayo ni zaid ya mazoez na zile style mnazokunjana inafanya nyonga kutanuka vizur na kumpa mtoto chance ya kurotet kila position siku ya kushuka atashuka vizur kwa kuwa nyonga ndio kila kitu mtoto kupita yaan pelvic.
Mkuu mbona Wanitisha tena jmn fafanua kdgo tueleweshane mkuu!!Hivi watu wamesoma medical field au wanaropoka tu..THERE IS NO WAY MTOTO AKACHAFULIWA NA SPERMS...
mkuu CIO mm jmn juzi tu niliomba ushauri namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda Leo nine na mimba ya miezi saba?? lolMtoa mada mbona nahisi kama Mhusika mwenyewe ni wewe?? ila tu umemsingizia mdogo wako..ulihisi ukisema ni wewe tutakushangaaa....Hapana bwana, hiyo ishu ni kawaida tu, Ila umakini unahitajika mfanyapo hilo tendo
Kwa tz ya viwanda my Dada wanaweza mana wahasiraHao manesi hawaba haki ya kufanya hivyo.
Achana nao yani haiingii akilini kabisaHivi watu wamesoma medical field au wanaropoka tu..THERE IS NO WAY MTOTO AKACHAFULIWA NA SPERMS...
Badoupo bestHao manesi hawana haki ya kufanya hivyo.