Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa wanawake wajawazito

SEX KWA MJAMZITO


Tendo lA ndoa /ngono ni sehemu ya afya kwa mahusiano baina ya wapendanao, lakini je, NI SAWA KUFANYA TENDO LA NDOA /NGONO wakati wa ujauzito ???

Kwa wanawake wengi ni sawa, tendo lA ndoa /ngono ni Salama wakati wa ujauzito lakini kama mwanamke Atakuwa na wasiwasi wowote kuhusiana Na tendo lA ndoa /wakati WA ujauzito atalazikika kumuona Daktari kwa maelezo zaidi...

BAADHI YA MAMBO YA KUZINGATIA KUHUSIANA NA TENDO LA NDOA /NGONO WAKATI WA UJAUZITO...

1}Kama mimba iko Salama, inaendelea vizuri basi munaweza kukutana kimwili wakati WA ujauzito... Kikubwa ni kuwa makini juu ya STYLES NA POSITIONS ambazo hazita leta madhara yoyote kwa Mama mjamzito.

2} Tendo lA ndoa /ngono halimdhuru Mtoto, chupa iliyo Na maji katika mfuko Wa uzazi (uterus) inasaidia kumlinda Mtoto wakati WA Tendo.

3}Kama Mama mtarajiwa alikuwa na matatizo yoyote kwenye ujauzito uliopita, au ana matatizo yoyote kwenye ujauzito alionao wakati huu..

4} Kama baada ya Tendo, Mâmä Atakuwa anatokwa Na damu nyingi, maumivu makali au majimaji yanayotoka ukeni... Atatakiwa Awahi hospital au Kituo cha afya kwa uangalizi WA haraka Na usalama wa kiumbe aliyeko tumboni..

NI WAKATI GANI TENDO LA NDOA /NGONO SIO SALAMA KWA MÂMÄ MJAMZITO ?

Wakati mwengine tendo lA Ndoa linaweza lisiwe Salama kwa Mama Mjamzito ikiwa Mama huyo Atakuwa na matatizo katika ujauzito wake wa sasa au alikuwa na matatizo katika ujauzito wake uliopita.. Kama Atakuwa Na moja ya mambo yafuatayo atalazimika amuone mtaalamu WA afya Kabla ya kukutana kimwili Na mwenza wake kwa ushauri wa kitaalamu...

1} Akiwa ana mimba ya mapacha Na zaidi (2,3, .......)

2}Kama Atakuwa na tatizo la CERVICAL INCOMPETENT, Hili ni tatizo ambalo hutokea pale ambapo mlango wa mfuko Wa uzazi ( cervix) unapo funguka mapema sana wakati WA ujauzito ambapo inaweza ikasababisha Mama kujifungua kabla ya muda kutimia...

NI JINSI GANI MJAMZITO ANAWEZA AKAFANYA TENDO LA NDOA /NGONO AMBALO LITAKUWA NI SALAMA KWA AFYA YAKE NA AFYA YA KIUMBE ALIYEKO TUMBONI ???

1}Ajilinde kutokana na Magonjwa ya zinaa. Mama mjamzito anaweza akapata magonjwa ya zinaa pale atakapo kutana Na mwenza wake ambaye tayari ana magonjwa hayo...

Magonjwa hayo yanaweza yakasababisha madhara makubwa kwa afya Yake na afya ya kiumbe aliyeko tumboni Hivyo basi, Kama Atakuwa anafahamu mwenza wake ana magonjwa hayo, hawashauriwi wakutane kimwili

Na ndio maana, sikuhizi Mama anashauriwa wakati anaanza kliniki ya uzazi aende na mwenza wake ili waweze kupimwa wote wawili, huwa Wakapimwa vipimo vya HIV/AIDS NA SYPHILIS..

NI ZIPI DALILI ZA HATARI KWA MJAMZITO WAKATI WA TENDO NA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA /NGONO NA MWENZA WAKE ???

1}Kama baada ya tendo atahisi maumivu makali sana, Atatakiwa aonane na mtaalamu kwa uangalizi zaidi ..

2}Kama Atakuwa anatokwa damu nyingi ukeni...

3}Kama kutakuwa Na majimaji yanatoka ukeni mwake ..

NAWASILISHA...
Nzory Mussa
 
Hakuna madhara yoyote dada angu we endelea tu kula mema ya nchi,

Ila mtoto kufunikwa na shahawa ni 100% na manesi huwa wanachukia sana wanakuambia umfute mwenyewe.
Mtoto hawezi kuzaliwa Na shahawa, kwanza baada ya mimba kutunga hakuna kitu kinaweza ingia ndani wala kutoka nje labda Mama mjamzito awe na matatizo mengine...

Zile ambazo tunaziona kwa baadhi ya watoto baada ya kuzaliwa ni mafuta mafuta tu, kitaalamu yanaitwa VERNIX CASEOSA

Ni mazuri sana kwa ngozi ya Mtoto ijapokuwa wapo wauguzi Wengine huyafuta punde tu baada ya Mtoto kuzaliwa lakini huwa tunashauriwa kuyaacha...

Ndani yake kuna vitu vingi Sana muhimu kwa afya ya ngozi ya Mtoto, Kama vile...

1} wax and sterol esters
2}ceramides
3}squalene
4}cholesterol
4}phospholipids

Hivyo ni baadhi tu...

MY TAKE
Zile Sio shahawa bali ni VERNIX CASEOSA
 
baba ajitahid asitoke njee ya ndoa akapata magonjwa mengine thn atampa na mkewake km hachepuki hakuna shida sperm zikiingia kwenye viganal zitapenya kidogo kwenye uterus kwakuwa mjamzto cevix inakuwa ime dilate 2cm na zitamfikia mtoto hapo ina tegemea na position ya mtoto zinaweza kurud au zkabak kwa mtoto na hazina madhara but asiwe mchepukaji baba maana mtoto kuzaliwa ana infection ni simple sana ,,faida ya kufanya sex itamsaidia mama viganal yake kuwa loose ili mtoto aje apite vizur kuepusha kuongezwa njia yaan episiotomy na hapo mtoto akiwa mkubwa 3.5to 4.5kg kingine ni nyonga kuwa active maana sex nayo ni zaid ya mazoez na zile style mnazokunjana inafanya nyonga kutanuka vizur na kumpa mtoto chance ya kurotet kila position siku ya kushuka atashuka vizur kwa kuwa nyonga ndio kila kitu mtoto kupita yaan pelvic.
 
Mtoa mada mbona nahisi kama Mhusika mwenyewe ni wewe?? ila tu umemsingizia mdogo wako..ulihisi ukisema ni wewe tutakushangaaa....Hapana bwana, hiyo ishu ni kawaida tu, Ila umakini unahitajika mfanyapo hilo tendo
 
b52ce3c143b61690fc97e8c8f9974e8c.jpg
 
Jamaa yangu na mkewe walikua wanafanya mpaka siku ya kwenda labour. Wkt wa kujifungua mtoto alifunikwa kichwa kizima na maniii. Alijifungua salama, mtoto mwenye afya tena mzuri kweli. Sema yale manii tu ilikia aibu kwa manesi, wakamwambia afute km alivyokua anafuta
kumbe kiafya haina madhara but shida ni hao manesi axnte mkuu!
 
Kwa hapo hakuna tatzo lolote kwani ndio baba wa mtoto pia kunamuda kama njia ni ndogo wanashauliwa kufanya ila kwa ss wangepunguza kidogo, swala la mtoto kuzaliwa katapakaa shahawa hilo la kawaida sana 98% ya wanawake wanajifungua watoto wao wakiwa na shahawa mwili mzima yy apige mzigo hatanuwe njia ila asimfanye mistyle ya ajabu
Axnte mkuu!!
 
Back
Top Bottom