Ufanyaji kazi wa viagra

Kama ulimeza NJOI unapaswa ubalishe
,
Ni Viagra ya Bei rahisi sokoni yenye ubora hafifu mno ili kumudu soko ushindani.

Kwa beginners hata Kama uchumi hauruhusu sn, angalau uanze na ERECTO.

Hayo matakataka ya NJOI yanatenezwa hapo GONGO LA MBOTO na waswahili wenzetu Changamoto Sana.

Wengi wanalalamika
Erecto nayo effects zake naona ni kama alizotoa mleta mada,mishipa ya kichwa huuma sana,in short haya madude siyo mazuri,niliwahi kutumia erecto 100,aisee mashine ilisimama hatari,yaani ikawa ngumu kama ubao,halafu urefu wa mashine unaongezeka balaa,ila sasa mishipa inaumaga,sijawahi kurudia tena.Yawezekana hata kuanza kwa erecto 100 badala ya erecto 50,kwa mimi ambaye nilikua sijawahi kutumia hayo madawa,kulipelekea kuumia kichwa vile.All in all,tule vizuri.
 
Mbona mi nameza hayanisaidii nikimeza kimoja au na nusu njoi ndio kwanza nawai kupiz sekunde ya tano mwaaa nimetumia kama mara tatu lakin watu mnavisifu mi nina matatz gan nikinywa maji lita kdg naweza dumu kwenye gemu angalau dakika mbil chali wakuu dawa gan kwa mtu kama mm zitanifaa
Kunywa hanson choice au any brands kadogo kazima utanishukuru baadae
 
Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Utakuja kujiua bure mwanamke hata kwa kidole anafika kilelen tatizo vijana mnaamin kupiga muda mrefu ndio kumridhisha mwanamke mwanamke ni hisia zake kwako tu dk 30 zinamtosha kujiona ni mwanamke mbele ya wanawake wenzake
 
Unajihisi kichwa kinauma Sana?

Kula ndizi mbivu kwa wingi upate choo kikubwa kisha ukajisaidie.Chap kichwa kinapona.

Viagra mfumo wake wa kuitoa mwilini Ni kwa kujisaidia choo kikubwa.
Mzee haya mauzoefu ndio inatumiaga kumwadhibu mamajay?
 
Back
Top Bottom