UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Ab-Tichaz I will be right back!!!
Ila Hongereni kwa kutoa ushindani!!!
 
Hongereni....Sijui kama Drogba ataamua kuondoka mimi kwa maoni yangu kwenda Italy au Spain hata hailipi kiuchezaji hasa kama timu atakayoamua kwenda ina wakali wengi mpaka wengine inabidi wakae bench. Amuulize mwenzie Thierry, yuko better off kubaki Chelsea.
 
Keep on dreaming Icadon, leo tundu tu...:)

Mkulu Inakuwaje sasa...? ama bado haijasink in?

Alafu nothing wrong with dreaming especially kama umeshadream kabla na ndoto zikageuka kweli...hii nayo leo imegeuka kweli...
_44678573_4de95741-6cea-4810-9aeb-2d16280d3450.jpg
 
Mimi jamani kweli mshabiki ila sasa leo naona Joto la mwili limezidi na jinsi game inavyokwenda ndio kabisa nimeona nirudi zangu kwenye JF. Ila bado nasali maana najua yaweza fika Penalti hapo ndio patakuwa hapafai kabisa.

Namshukuru Mungu kwa kukubali Dua zangu. MAN UTD OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

YAANI LEO MASANGA MPK KUCHWE. KARIBUNI TUPO MEEDA-SINZA LEO JAMA
 
Mkulu Inakuwaje sasa...? ama bado haijasink in?

Alafu nothing wrong with dreaming especially kama umeshadream kabla na ndoto zikageuka kweli...hii nayo leo imegeuka kweli...
_44678573_4de95741-6cea-4810-9aeb-2d16280d3450.jpg

Hivi hamna namna ya kuweka Thanks hata 5 hivi maana kama ipo Icadon basi kula 5. Wasimuone Chui kainama wakadhania Paka! Man Utd Kiboko. Anelka kwabonyeza wenzake Kizenji, Bonyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Although I'm Arsenal supporter I think Man U have been the best team throughout the season and they deserve to win the double.

Congratulations!
 
Hongereni wekundu wa msimbazi...ooops sorry- mashetani wekundu, but only if and only if John Terry had got it right,!You need luck to become a champion and man weren't Man U lucky tonight? Chelsea will regret forever for not wining this game, it was there for them to take esp after the second half.
 
Although I'm Arsenal supporter I think Man U have been the best team throughout the season and they deserve to win the double.

Congratulations!

...swadakta Richard, japo mnh to be on the fair side refa nae kawauma mabuluu. For some reasons nimefurahishwa kwasababu zifuatazo;

1. kwa mara nyingine tena, ashley cole kaishia na runners up medal, dogo ana kiburi sana yule, hana shukran jinsi gunners walivyomlea.

2. mabuluu wangekuwa 1st London Club kutwaa Champs league cup, sie washika bunduki tusingepewa nafasi hata kukohoa...
 
Hongereni wekundu wa msimbazi...ooops sorry- mashetani wekundu, but only if and only if John Terry had got it right,!You need luck to become a champion and man weren't Man U lucky tonight? Chelsea will regret forever for not wining this game, it was there for them to take esp after the second half.

yes Mkuu, you are using 'if statements' is it C++?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom