Extra time!!!!..
Gemu safi sana lakini uwanja mbovu.
Referee suspect!!!
We still there...Ze Bluzz!
I hope mshindi hatapatikana kwa matuta...
Duh!!! Chelsea wanahold down for penalties....
Am I the only one who hates penalties?
Mimi jamani kweli mshabiki ila sasa leo naona Joto la mwili limezidi na jinsi game inavyokwenda ndio kabisa nimeona nirudi zangu kwenye JF. Ila bado nasali maana najua yaweza fika Penalti hapo ndio patakuwa hapafai kabisa.
Sio wewe tu...nime-enjoy gemu lakini sasa naona ni matuta tu!
masikni Ronaldo!